Meridianbet Iko Pamoja na Madereva Bodaboda
Meridianbet tunaamini katika ubingwa. Kwetu, maana halisi ya ubingwa ni uwezo wa kila mmoja kufanya kazi kwa juhudi ikiwa ni pamoja na kushikana mikono kwa kadiri inavyowezekana.
Miongoni mwa mifumo ya usafiri inayopatikana nchini Tanzania, pikipiki almaarufu kama bodaboda ni...
Meridianbet Yatoa Kapu La Sikukuu Ya Kinamama
Mei 8 kila mwaka, huwa ni siku maalumu ya kusherehekea maisha ya kinamama kote duniani. Hawa ni watu muhimu kwenye uzazi, malezi, ustawi na maendeleo ya jamii zetu. Neno mama ni neno fupi lakini, lina maana kubwa kwenye maisha...