Licha ya kuendelea kuwakosa baadhi ya wachezaji muhimu kwenye kikosi chao, LA Lakers wameendelea kufanya vizuri kwenye michezo yao ya hivi karibuni.

Lakers walikuwa uwanjani usiku wa kuamkia leo (Jumatatu) wakichuana na Orlando Magic katika dimba la Staple Center.

Huu ni mchezo ambao LA Lakers wamemkosa nyota wao LeBron James kwa mara ya 5 mfululizo lakini bado waliweza kuwafunga Magic kwa pointi 96-93.

Dennis Schroder alipachika pointi 24 huku Kyle Kuzma akipachika pointi 21 katika ushindi wa Lakers.

LA Lakers, LA Lakers Yawalaza na Viatu Orlando Magic., Meridianbet
Kyle Kuzma akiipatia pointi Lakers

Kutokana na kukosekana kwa James na Anthony Davis (AD) kwenye kikosi cha Lakers, timu hiyo imemsajili Andre Drummond ili kuziba pengo la wachezaji hao.

Kwingineko kwenye NBA, Brooklyn Nets imekubali kusamjili mshambuliaji bora wa muda wote mara 7, LaMarcus Aldridge kwa muda uliobaki msimu huu. Aldridge (35), aliitumikia San Antonio Spurs kwa misimu 6.

Kwenye Western Conference, Phoenix Suns wamepanda mpaka nafasi ya 2 baada ya kuwafunga Charlotte Hornets kwa pointi 101-97.


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

LA Lakers, LA Lakers Yawalaza na Viatu Orlando Magic., Meridianbet

CHEZA HAPA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa