Shirikisho la mpira wa miguu Hispania, La liga imesema hakuna ushahidi wowote katika uchunguzi unamkabili beki wa Cadiz, Juan Cala kumtolea maneno ya kibaguzi Mouctar Diakhaby.

Katika mchezo uliopigwa April 4 katikati ya kipindi cha kwanza Diakhaby alishikwa na hasira kutokana na matamshi ya Cala, hali iliyopelekea wachezaji wa Valencia kutoka nje ya uwanja.

 

la liga, La Liga : Hakuna Ushahidi Cala Kumbagua Diakhaby., Meridianbet

Baada ya muda mchezo uliendelea na kukubaliana uchunguzi wa tukuo hilo ungefanyika na La Liga wangeongoza uchunguzi wa tukio hilo.

Pamoja na ripoti hiyo Klabu ya Valencia imesema kukosekana kwa ushahidi haimaanishi tukio hilo halikutokea hivyo wateendelea kutoa ushirikiano kwa mchezaji wao Diakhaby na watapinga vitendo vya ubaguzi kwa nguvu zote.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

la liga, La Liga : Hakuna Ushahidi Cala Kumbagua Diakhaby., Meridianbet

CHEZA HAPA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa