Tuesday, June 21, 2022
Nyumbani La Liga

La Liga

Samuel Eto’o

 Samuel Eto’o Anusulika Kwenda Jera

0
Mchezaji wa zamanii wa kimataifa wa Cameroon Samuel Eto’o amenusurika kwenda jera nchini Hispania kwa kosa la kukwepa kodi. Mchezaji huyo wa zamani wa klabu ya Barcelona alikubari kwenda jera kwa miezi 22 na mamlaka za usimamizi wa kodi nchini...
Rodrygo Afunguka Kuwakataa Barca Mwaka 2019

Rodrygo Afunguka Kuwakataa Barca Mwaka 2019

0
Mwaka 2019 Rodrygo alipiga chini nafasi ya kuijunga na Barcelona na badala yake alijiunga na Real Madrid kipindi ambacho aliondoka Santos. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil mwenye umri wa miaka 21 alikuwa mchezaji muhimu katika msimu uliyoisha ambapo Real...

De Jong Awapandishia Vioo Man United

0
Manchester United bado hawasajili mchezaji yoyote mpaka sasa wanaendelea kuangaza huku na kule na ripoti zilidai kwamba wanavutiwa na kiungo wa Barcelona Frenkie de Jong lakini ni kama mchezaji huyo hana nia ya kujiunga na mimba hao wa EPL. De...

Barcelona Kumenyana na Roma Kombe la Joan Gamper

0
Barcelona wameichagua Roma katika mchezo wa kuwania taji la Joan Gamper mwaka huu 2022 ambao unatarajiwa kufanyika mwezi Agosti 6 ilitangazwa siku ya Jumatano. Mwaka jana Barca walichuana na Juventus ambapo pia kwa mara ya kwanza timu za wanawake zilihusishwa...
Barcelona

Barcelona Raisi Achafua Hali ya Hewa

0
Raisi wa klabu ya Barcelona Joan Laporta amevurugana na wachezaji wake akiwemo kapteni wa klabu hiyo kwa kutamka hadharani kuwa wachezaji wa klabu hiyo wanapaswa kupunguza mishahara yao ili kuweza kuinusuru klabu hiyo. Mapema wiki hii, Sergio Busquets alimjibu raisi...
Chelsea Watabadili Gia Angani kwa Kounde Baada ya Kuumia?

Chelsea Watabadili Gia Angani kwa Kounde Baada ya Kuumia?

0
Klabu ya Chelsea imeonyesha nia yake ya kutaka kumsajili beki wa Sevilla Jules Kounde wakati wa dirisha hili la majira ya kiangazi lakini sasa beki huyo wa kimataifa wa Ufaransa alipata jeraha alipokuwa kwenye majukumu na timu ya taifa...
Mauricio Pochettino

Mauricio Pochettino Atakula Shavu Hispania?

0
Mauricio Pochettino zama zake ndani ya klabu ya PSG zimekweishwa na ameshaoneshewa mrango wa kuondoka nchini Ufaransa na jiji la Paris ni muda wa kupanga mabegi na kutafuta kituo kinachofuata, je Hispania ni kituo sahihi kwake? Huenda inaweza isimchukue muda...
Bale Aikataa Mchana Kweupe Getafe

Bale Aikataa Mchana Kweupe Getafe

0
Gareth Bale Ameikataa hadharani klabu ya Getafe baada ya kuwepo kwa mjadala wa kwamba nyota huyo wa Wales anaweza kujiunga na klabu hiyo ya LaLiga. Angel Torres alikiri kwamba Mchezaji huyo wa Wales alipewa ofa na klabu hiyo na kwamba...
Barcelona

Barcelona Inauhitaji wa €500milioni Ili Kujiendesha Msimu Huu

0
Makamu wa rais wa klabu ya Barcelona amekubali kuwa klabu hiyo inauhitaji wa kiasi cha €500milioni ili kuinusuru klabu hiyo kutoka kwenye mdororo wa kiuchumi ambao unaukabili. Barcelona kwa sasa kutokana na ukomo wa matumizi ya mapato haiwezi kusajiri mchezaji...
Wachezaji 10 Wenye Thamani Kubwa kwa Sasa

Wachezaji 10 Wenye Thamani Kubwa kwa Sasa

0
Kundi la utafiti la CIES Football Observatory limewataja wachezaji Kylian Mbappe, Vinicius Junior Erling Haaland na wengine ndiyo wenye thamani kubwa katika soka la dunia kwa sasa. Mbappe ameongoza orodha ya wachezaji wenye thamani zaidi kuwa na msimu mzuri akiwa...

MOST COMMENTED

La Liga : Hakuna Ushahidi Cala Kumbagua Diakhaby.

3
  Shirikisho la mpira wa miguu Hispania, La liga imesema hakuna ushahidi wowote katika uchunguzi unamkabili beki wa Cadiz, Juan Cala kumtolea maneno ya kibaguzi...
Mourinho na Arsenal Tena?

Mourinho na Arsenal Tena?

HOT NEWS