Areola Arejea PSG Akitokea Real Madrid.

Alphonse Areola amerudi Paris Saint-Germain akitokea katika klabu ya Real Madrid hali ya kuwa kuwa taarifa anajiandaa kwenda Premier League.

Mlinda mlango huyo alijiunga na Los Blancos kwa mkopo mwezi Septemba mwaka uliyopita na kuweza kusaidiana na golikipa wao namba moja Thibaut Courtois na Keylor Navas amepata dili ya kudumu klabuni hapo.

Areola alicheza michezo tisa katika timu ya mabingwa hao wa LaLiga, ingawa mfaransa huyo amekuwa na nia ya kuondoka tena wakati msimu utakapo anza.

“Real Madrid yathibitisha kuwa wamemaliza dili yao na Alphonse Areola imefika mwisho” Nukuu ya taarifa yao ilisomeka hivyo.

“Klabu inapenda kumshukuru Areola kwa kujitolea kwa hali na mali na kuonesha ujuzi aliyonao katika timu yetu kwa msimu huu na tuna mtakia kila la kheri kwenye kurasa zake mpya kwenye maisha yake.

“Real Madrid pia tunaishukuru klabu ya PSG kwa kutupa nafasi ya kuwa na Alphonse Areola katika kikosi chetu.

Taarifa kwenye vyombo vya habari vya nchini Uingereza zinadai kuwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 tayari amenunua nyumba jijini London kuelekea kuhamia katika ligi ya Premier League.

Klabu ya Chelsea imekuwa ikihusishwa na kunasa saini ya Mlinda mlango huyo ili achukue nafasi ya Kepa na wanatafuta timu itakayo mnunua kipa wao Kepa Arrizabalaga baada ya kucheza chini ya kiwango msimu huu.

 


Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.

soma zaidi

44 Komentara

    Welcome om ARebola kipa Bora wa muda wote psg

    Jibu

    Karibu tena PSG

    Jibu

    Kalibu tena PSG

    Jibu

    Makipa wanawakati mgumu sana.

    Jibu

    Yuko vizuri

    Jibu

    Karibu tena PSG

    Jibu

    Mchezaji mahiri sana huyu

    Jibu

    Areola yupo vizuri sana karibu tenaPSG#Meridianbettz

    Jibu

    Well come back

    Jibu

    PSG itazidi kuwa imara kwa upande wa makipa

    Jibu

    Chelsea inahitaji mno golikipa wa viwango vya juu, sidhani kama atakuwa mbadala sahihi wa Kepa#meridianbettz

    Jibu

    Yuko vizuri

    Jibu

    Ni kipa mzur sana Areola

    Jibu

    Njoo utulie nyumban!!!

    Jibu

    Anakaribishwa tena

    Jibu

    Ni jambo la kufurahisha kwa wana PSG.

    Jibu

    Karibu Sana PSG
    @meridianbettz

    Jibu

    Watu wa PSG watakua wamefurah sana

    Jibu

    Areola ni kipa mzuri sana ni jambo jema akirudi home

    Jibu

    Maoni:psg ndo nyumbani bhana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Psg itazid kuwa imara kwa upande wa makipa#meridianbettz

    Jibu

    Areola kiba bora wa psg

    Jibu

    Ni kocha mzuri sana Areola#Meridianbettz

    Jibu

    Areola karibu PSG

    Jibu

    Hitakua vizuri Chelsea wakiinasa sain ya areola ni goli kipa makini sana

    Jibu

    Ni vizuri Kama ataendelea kufanya vizuri Kama alikotoka ili wamwamini

    Jibu

    Kwa Chelsea bado anakiwango kidogo sana hafaii kabisa

    Jibu

    Bonge la kipaaaa safi sana namkubali aisee

    Jibu

    Yuko vyema!!!

    Jibu

    Psg itafanya vizuri sana kwa kumpata kipa huyu

    Jibu

    Karibu sana

    Jibu

    Kalibu tena PSG

    Jibu

    Kila la heri

    Jibu

    Ni Jambo la furaha kwa Wana psg kuongeza nguvu kwenye kikosi Chao.

    Jibu

    Karibu PSG

    Jibu

    Karibu PSG

    Jibu

    Maamuzi mazuri kurudi PSG

    Jibu

    nice

    Jibu

    Krb psg

    Jibu

    Real Madrid pia tunaishukuru klabu ya PSG kwa kutupa nafasi ya kuwa na Alphonse Areola katika kikosi chetu.

    Jibu

    Duu watu hama sio poa

    Jibu

    wellcome back the super goalkepper

    Jibu

    Areola Mkali sana

    Jibu

Acha ujumbe