Barcelona Yamfuta Kazi Daktari Mkuu wa Timu

Barcelona imemfuta kazi daktari mkuu wa timu hiyo baada ya muendelezo wa wimbi kubwa la majeruhi wanayopitia klabu hiyo, huku ikionekana kuwa daktari huyo hana msaada wowote kwenye kutatua changamoto hiyo.

Barcelona waliingia kwenye mchezo dhidi ya Celta Vigo pasipo huduma ya Pedri, Ousmane Dembele, and Sergino Dest kutokana na matatizo ya misuli.

BARCELONA

Kwenye mchezo wa mwisho kabla ya mapumziko ya kupisha michezo ya kimatifa Barcelona ilimpoteza tena Ansu Fati ambaye alipata majeraha ya misuli tena, pia hivi karibuni imeshuhudia Gerard Pique, Jordi Alba, na Ronald Araujo wakienda majeruhi pasipo kumsahau Martin Braithwaite.

Kwa sababu ya tatizo la “fitness” kuongezeka kwa wachezaji kupata majeraha mara kwa mara Joan Laporta na Xavi wameamu kuanza kulitafutia ufumbuzi na kuchuku hatua stahiki kwa kumfuta kazi daktari mkuu.


NJIA RAHISI YA MKWANJA NA TITAN DICE

Unawezaje kuikosa hii! njia rahisi ya kutengeneza mkwanja katika kasino maridhawa za meridianbet. Muda wa kufurahia na kutengeneza mkwanja ipo mikononi mwako unasubiri nini?

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe