Klabu ya Chelsea iko kwenye kinyang’anyiro  cha kutaka huduma ya mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa Ousmane Dembele kwenye dakika za mwisho kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajiri saa chache zijazo.

Dembele amekuwa akihusishwa na vilabu kadhaa vya nchini Uingereza kwenye dirisha hili la usajiri, huku Tottenham akijondoa kutokana na swala la mshahara wake wakati klabu za wakati Manchester United, Arsenal, na Newcastle United mipango yao ikiwa bado iko kizani.

chelsea, Chelsea na Ousmane Dembele Kumalizana?, Meridianbet

Klabu ya Chelsea imeongeza nguvu kuhitaji huduma ya winga huyo ambaye klabu ya Barcelona imemuonyeshea mlango wa kutokea baada ya kushindwana kwenye mazungumzo ya mktaba mpya.

Usajiri wa dembele kwenda Chelsea utakuwa nguzo kubwa kwa kocha Thomas Tuchel, ambaye awali alifanya nae kazi kwenye klabu ya Dortmund kabla ya wote kutimkia njia tofauti.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa