Diaz wa Madrid Akutwa na Covid-19.


Mshambuliaji wa Real Madrid, Mariano Diaz amepimwa na kukutwa ameathirika na virusi vya Corona (Covid -19).

Klabu ya Real Madrid iliwafanyia vipimo wachezaji wake wote wakiwa majumbani kwao kabla ya kuripoti kambini ili kubaini kama wameambukizwa COVID-19.

 

Diaz wa Madrid Akutwa na Covid-19.

Majibu yaliyotoka mapema leo yamethibitisha kuwa Mshambuliaji wao Mariano Diaz anashambuliwa na virusi hivo. Hivyo atakaukosa mchezo wa marudiano wa hatua ya 16 bora ya UEFA dhidi ya Manchester City.

Kwa sasa Mariano Diaz amejiwekea karantini nyumbani kwake, ambapo mchana wa jumanne ilielezwa kuwa yupo salama na mzima kabisa. Ameeleza hayo kupitia video aliyoiweka katika kurasa zake za mitandao ya kijamii.

 

Diaz wa Madrid Akutwa na Covid-19.

Mariano amesema “Nashukuru kwa jumbe zenu za kunitakia afya njema. Nawashukuru sana. Ila mimi niwatoe hofu.

Mimi ni mzima kabisa pamoja na familia yangu. Kwasasa nimejiwekea karantini nyumbani kwangu. Nina imani nitarejea tena na kujiunga na timu kama hapo mwanzo.”


Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.

Cheza Hapa Sasa

 

51 Komentara

    Pole yake mungu atamuafu

    Jibu

    pole sana Diaz mungu akupe kupona

    Jibu

    Duh ingekuwa habari mbaya kama angebainika katikati ya Ligi#meridianbettz

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Pole sana Diaz utapona duuh hili gonjwa ni balaa linatesa watu sana

    Jibu

    Kweli bado majanga yanawndeleaa sijui Kama atacheza mechi ya UEFA

    Jibu

    Habari mbaya mana hata kama ligi imeisha lakini bado anaumuhimu wake katika klabu yake

    Jibu

    Too sad hope ata recover soon na kuendeleza majukum yake madrid

    Jibu

    Pole sana mungu hatakufanyia wepesi!!

    Jibu

    Pole yake Diaz naamini atakaa sawa

    Jibu

    Daah huu ugonjwa bdo unatikisa habari mbaya pole yake Diaz ni vema awe benchi afya muhimu asiwaambukize na waliosalia

    Jibu

    Pole Sana kwake ugonjwa bado upo kuchukua taadhali# meridianbettz

    Jibu

    Pole xana,soon utapona na kurejea kwenye kandanda!!

    Jibu

    Habari mbaya kwa madrid Mungu tu awasaidie wasijekuwa wamepata maambukizi

    Jibu

    duh yan huu ugonjwa huajaisha tu bado…?

    Jibu

    Pole Diaz

    Jibu

    Pole sana mariano Diaz mungu atakusaidia utapona

    Jibu

    Daah..!pole sana ugonjwa huu umekua hatari sana habari mbaya kwa machabiki wa Real Madrid na clabu kwa jumla hata kama ligi himeisha lakini bado hanaumuimu makubwa sana

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    duuh!!pole sana jamani corona bado ipo na ss watanzania wachezaji wetu wajikinge sana na huu ugojwa#meridianbettz

    Jibu

    Pole Sana diaz

    Jibu

    Pole sana Diaz

    Jibu

    Covid19 janga la taifa

    Jibu

    Pole

    Jibu

    Poleee yake

    Jibu

    Mh taarifa ya kusikitisha mno #Meridianbettz

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Pole yakee

    Jibu

    Poleee

    Jibu

    ujue huyu corona hana adabu kabisa anataka tu kuharibu mambo tena!! pole sana kwake

    Jibu

    Get well sooon

    Jibu

    utapona tu

    Jibu

    Corona ni noma sana

    Jibu

    Duuuh Pole yake

    Jibu

    Sorry for him

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Pole kwak

    Jibu

    so sad

    Jibu

    Pole

    Jibu

    Maoni:pole sana

    Jibu

    Corona bado inaendelea kutikisa ulimwengu amabalo ni jambo la hatari sana katika shughuli zote za kijamii

    Jibu

    Pole kijana.

    Jibu

    Duu pole yake

    Jibu

    Jaman hii Corona sio.poa

    Jibu

    Duu hatari binafsi niseme pole sana

    Jibu

    Mungu atamponya.

    Jibu

    Duu hii si habar mzr janga hili hatar sana

    Jibu

    Hiii Corona jamani ituache tu.

    Jibu

Acha ujumbe