Koeman Azungumzia Suala la Messi.

Kocha wa Barcelona Ronald Koeman amenukuliwa akipingana na raisi wa mpito wa klabu hiyo – Carlos Tusquets baada ya kusema angemuuza Messi majira ya kiangazi.

Siku ya Ijumaa, Tusquets alinukuliwa akitoa maneno hayo ambayo alidai kwa sababu za kiuchumi, majira ya kiangazi yalikuwa sahihi zaidi kumuuza Messi. Kwa Tusquets, ingepunguza fedha nyingi za mshahara pamoja na kuongezea timu mapato.

Kwa Koeman, hii sio sahihi. Akizungumza na waandishi wa habari, kocha huyo amesema ” tunafahamu hali ya Messi. Kama kuna mtu yeyote ambaye anapaswa kuamua hatma yake, basi ni yeye [Lionel Messi] mwenyewe.

“Sijali kinachosemwa nje ya klabu, lakini maneno yanayosemwa ndani ya klabu hayatusaidii kuwa watulivu na kufanya kazi yetu. Hatuwezi kuzuia ya nje ila ya ndani hiyo ni habari nyingine.

“Kama kumuuza Messi majira ya kiangazi ni maoni binafsi ya Tusquets, ninaheshimu hilo, lakini Leo mwaka mmoja kwenye mkataba wake na yeye ndiye atakayefanya maamuzi.”


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

INGIA MCHEZONI

20 Komentara

    Asant kwa uchambuzi

    Jibu

    Waswahili wanasema Lugha gongana. M/kiti ameangalia fedha na Kocha anaangalia mshikamano ktk timu

    Jibu

    Uchambuzi upo poa

    Jibu

    Uchambuzi uko vizuri na kocha Yuko sahihi

    Jibu

    Duu Sasa bari imegeuka kwaviongozi Messi Sasa kilamtu umzungumzia Mambo yashakuwa juu yamambo

    Jibu

    Messi wamuache tyu

    Jibu

    Uchambuzi uko poa

    Jibu

    Mess yupo poa sana

    Jibu

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    Nimeielewa hy habarii

    Jibu

    Messi kuondoka barca haitowezekana hata

    Jibu

    Uchambuzi upo vizuri

    Jibu

    Messi ni wa Barcelona

    Jibu

    uchambuzi mzuri

    Jibu

    Makala imetulia.

    Jibu

    Mess abaki Barcelona

    Jibu

    Wamuache tu messi azekee hapo hapo

    Jibu

    🔥

    Jibu

    Messi kama messi

    Jibu

    Koeman Yupo sahihi

    Jibu

Acha ujumbe