Laporta Awasilisha Ushahidi wa Malipo kwa Mwendesha Mashitaka

Raisi wa klabu ya Barcelona Joan Laporta amewasilisha ushahisi wa taarifa za fedha zinazohusu klabu hiyo ambazo zilkifabyika kwenye kipindi cha utawala wa Josep Maria Bartomeu kwa muendesha mashitaka.

Mwanzoni mwa mwaka 2021 Laporta na bodi yake walimuajiri Deloitte ili kuweza kuchunguza kwa umakini matukio ya kiutendaji ambayo yalikuwa hayaelezeki, huku wakiajiri tena kampuni ya kuweza kuchunguza ni kwajinsi gani klabu hiyo ilikuwa inaendeshwa kwa miaka ya karibuni.

Laporta
Laporta

Taarifa kutoka Barcelona siku ya Jumanne ilisema, “kampuni ya Kroll ilipewa kazi ya kuchunguza maeneo muhimu ambayo yalikuwa na hatari kutoka kwenye taarifa ya Deloitte.

“Kuna matukiao kadhaa ya kiutendaji ambayo hayako sawa kiuchumi na kwa kifupi, malipo yasiyosawa, malipo ya uongo yasiyona uhakika au malipo yasiyo na uhalisia na kiwango cha malipo, kulingana na idara ya sheria ya Barcelona.”

Laporta alisema kuwa ni mwendesha mashitaka sasa ndio ataamua ikiwa kuna  makosa yamefanyika na kama kuna yeyote tafunguliwa mashitaka.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe