Mchezaji wa kimataifa kutoka nchini Brazili anayekipiga kwenye klabu ya Real Madrid  Marcelo amefanikiwa kuingi kwenye kumbukumbu za klabu hiyo ya kuwa mchezaji aliyefanikiwa kubebe mataji mengi kuliko mchezaji yeyote ndani ya klabu hiyo.

Marcelo mwenye umri wa miaka 33 amefanikiwa kushinda taji lake la 24, baada ya kuifunga Espanyol goli 4-0 na kutawazwa kuwa mabingwa wapya wa La liga, na yeye akifanikwa kuingia kwenye kumbukumbu za klabu ya Real Madrid huku akifuatiwa na Francisco “Paco” Gento, mwenye makombe 23.

Marcelo

“Kombe ni matokeo ya kazi kubwa iliyofanyika, kujitoa,” alisema Marcelo ambaye aliinama kutoa heshima kwa mashabiki huku wakilitaja jina lake. “hiki ni kitu kikubwa kwa mchezaji, kushangilia nyumbani, tena mbele ya mashabiki.”

“Tumeweza kushinda ubingwa wa ligi hii, shukrani kwa timu nzima kwa kujitoa kwao,” aliongezea Vieira da Silva .

Marcelo makombe aliyofanikiwa kushinda akiwa na Real Madrid ni, klabu bingwa ulaya 4, kombe la dunia la klabu 4, UEFA Super Cups 3, Copa del Reys 2, Spanish Super Cups 5 na La liga 6


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

 

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa