Mateu Alemany Asafiri kwa Siri Kwenda Milan

Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Barcelona Mateu Alemany amefanya safari ya siri kwenda jiji la Milan ili kuangalia uwezekano wa kumsajiri kiungo wa klabu ya Ac Milan

Wakati klabu ya Barcelona haijatoa tamko rasmi kuhusu usajiri wao mpya wa wachezaji wawili ambao ni Andreas Christensen ambaye ndie aliyekuwa wa kwanza kusajiri na kufuatiwa Franck Kessie, wachezaji waote wamesajiri kwa usajiri huru.

Mateu Alemany
Mateu Alemany

Mateu Alemany na Xavi wamekuwa chachu ya ushawishi ya sajiri zote zinazofanyika hivi karibuni, huku kulikuwa na safari nyingi za siri zilizofanywa na viongozi wandaamizi wa klabu ya barcelona, ambapo kulikuwa na taarifa za safari za ujerumani na ufaransa.

Xavi alipofanya kikao na raisi wa klabu hiyo laporta na mkurugenzi wa michezo Mateu Alemany, walikubalina kumaliza maswala ya usajiri kabla ya majira kiangazi ili wapate uhakika wa kutengeneza timu kwa msimu ujao mapema.


SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI

Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.

liverpool, Liverpool Kila Mtu Ashinde Mechi Zake., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe