Mbappe na Real Madrid Wapo Kimkakati Zaidi

Mbappe na Real Madrid wamekubaliana kumalizia walichokianza mwezi huu baada ya msimu kuisha kwa sasa amebakisha miezi sita tu mkataba wake na PSG kuweza kufika ukingoni.

Mbappe atakuwa huru kuzungunza na klabu yeyote ile kuanzia mwezi January, pia anaweza kusaini mkataba wa awali na timu yeyote ikiwa wataafikana makubaliano, lakini inaonekana Mbappe na Real Madrid wapo kimkakati zaidi tokea washindwe kufanikisha deal hilo majira ya kiangazi mwaka huu.

Mbappe na Real Madrid

Mbappe na Real Madrid walifanya mazungumzo mwezi Disemba ingawa hayakuwa mazungunzo ya majo kwa moja lakini waliweza kuweka mikakati ambayo wanaweza kuitumia ili kuweza kuafanikisha usajiri huo.

Mbappe ndoto yake kubwa ni kuweza kucheza kwenye klabu ya Real Madrid na dilisha la usajiri la majira ya kiangazi alishasema kuwa anahitaji kwenda Madrid japo mpango huo ulishindikana dakika za mwisho ambapo offa ya klabu ya Real Madrid ilikataliwa na matajiri wa Paris.


KUWA MILIONEA MSIMU WA SIKUKUU NA SAHARA RICHIES

Unaanzaje siku yako katika msimu huu wa sikukuu, mchongo upo meridianbet kasino. Sloti pendwa ya Sahara Richies inaweza kukufanya ukawa milionea katika kufunga mwaka huu, Jiunge na ufurahie kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe