Miongoni mwa makocha bora wa kipindi hiki basi huwezi kumuacha kumtaja jina la “Special One” Jose Mourinho ambaye ana vituko na rekodi za kuvutia kwenye ulimwengu wa soka.

Mourinho awali alikuwa akifanya kazi kwenye klabu ya Barcelona kama mtafsiri kwenye miaka ya 1990. Kabla ya kuhitajika kupewa kazi ya kutaka kuinoa klabu hiyo mwaka 2008 na story ilibadilika baada ya kuingia jina la Pep Guardiola kuwa mshindani wake.

Mourinho

Kulingana na taarifa kutoka ndani ya klabu ya Barcelona, kwamba kumchukia ilikuwa sababu ya kunyimwa. Mourinho alipoulizwa kama alikuwa karibu kuweza kupata kazi ya kuinoa klabu hiyo  alinukuliwa akisema.

“Hapana, waliniomba kufanya uchambuzi wa hali ya timu kwenye kipindi kibaya, kipindi ambacho kulikuwa na mabadiliko kutoka sehembu mbaya kwenda nzuri, kilikuwa lipimdi kigumu.

“Mtu ambaye aliniomba kufanya hivyo alikuwa ni mtu mwenye cheo kikubwa sana kwenye klabu. na nilifanya lakini kulikuwa hakuna cha zaidi. kisha, kwa bahati nzuri  historia ilichukua mkondo wake.” alisema Mourinho


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa