Newcastle United: Kufanikisha Uhamisho wa Emery Kabla ya Wikiendi

Newcastle United wanaaimini wataweza kufanikisha uhamisho wa kocha wa Villarreal kabla ya wikiendi japokuwa raisi wa Villarreal kuwaonya kuwa atafanya kila liwezekano kuweza kumbakisha msimu huu.

Magpies wako tayari kulipa kiasi cha €6milioni kama ada ya kuvunja mkataba, na wanajiandaa kumpa mkataba wa miaka mitatu huku kikiwa na kipengere cha kuongeza tena miezi 12.

Emery ambaye anajiandaa kuingoza timu ya Villarreal kwenye ligi ya mabingwa muda mchache kuanzia sasa, ameonesha nia ya kuachana na mabosi wake hao na kurudi tena kwenye ligi kuu ya Uingereza.

Raisi wa Villarreal Fernando Roig anatambua kuwa kuna mazungumzo yanaoendelea lakini anaamini kuwa Emery atakataa kujiunga na Newcastle United na kuendelea na mkataba wake wa sasa na Villarreal alipoulizwa Roig kuhusu kuondoka kwa Emery, alisema, sidhani, ninachofikilia Emery ni kocha makini, majua unai anamkataba na sisi.”

“Tunatumai tutaweza kumuona mpaka mwisho wa mkataba wake, nina uhakika atakuwa kocha bora, na sina shaka kuwa ataheshimu taaruma yake.”

Newcastle United wanatarajia kuwa unai atakubali kujiunga nao na wanatumaini kuwa atakuwa sehemu ya timu kwenye mchezo wa jumamosi jioni dhidi ya Brighton kwenye dimba la Amex


MKWANJA WA KUSHATO NA AURORA BEAST HUNTER!

Mkwanja umetema ndani ya kasino za meridianbettz, Mchezo maridhawa wa Aurora Beast Hunter unakupa nafasi sawa ya ushindi leo hii, kila mzunguko una nafasi ya kuibuka mshindi, na mkwanja wako unaupata kila mzunguko utakapo kamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

Acha ujumbe