Pedro - Asanteni na Kwaherini "The Blues"

Pedro amethibitisha kuondoka kwake katika klabu Chelsea akitarajia kulekea Roma baada ya kuichezea timu hiyo ya Premier League kwa kipindi cha miaka mitano.

Mshambuliaji huyo wa Spain amemaliza mkataba wake na The Blues na kuna uvumi kuwa atatua katika ligi ya nchini Italia katika klabu ya AS Roma kwa dili ya miaka miwili.

Mchezo wake wa mwisho katika timu ya Chelsea ulikuwa ni wa maumivu baada ya kupata tatizo la bega kwenye fainali ya FA Cup na Chelsea ilipoteza kwenye mchezo huo, hakujumuishwa kwenye kikosi kilicho cheza dhidi ya Bayern Munich katika michuano ya Champons League siku ya Jumamosi.

Katika mtandao wa Instagram siku ya Jumapili, Pedro aliakisi muda wa mafanikio akiwa Darajani, na kushukuru wote kwa kushirirkiana na kujihisi yupo nyumbani baada ya kuhamia klabuni hapo akitokea Barcelona mwaka 2015.

“Baada ya miaka mitano ya maajabu hatua yangu hapa Chelsea imefika tamati,” aliandika.

“Shukrani nyingi kwa bodi ya klabu, walimu na wachezaji wenzangu tulikuwa pamoja bila kusahau mashabiki, asanteni sana mimi kuwa ni mmoja wa familia hii kubwa, mlinifanya nijihisi nipo nyumbani.

“Ilikuwa ni wakati mzuri na heshima kuichezea timu hii na kufanikiwa kushinda Premier League,FA Cup na Europa League na kucheza katika mashindano ya hadhi ya juu ulimwenguni.

“Nilifanya maamuzi sahihi, nina kumbukumbu kubwa zisizo sahaulika katika maisha yangu.”

pedro alikuwa ni sehemu ya kikosi cha Antonio Conte kilichofanikiwa kutwaa taji la Premier League msimu wa 2016-17, wakati pia alibeba taji la FA Cup na Europa League akiwa na klabu hiyo ya jijini London.


Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.

Ingia mchezoni

47 Komentara

    Binafsi nimefurahi kuona Pedro anapata deal kutoka kwa Roma sababu wamegundua ni mchezaji mzuri, Kila la heri Pedritooo

    Jibu

    Kila la heri uendako

    Jibu

    Nenda kapambane uko uendako.

    Jibu

    Safari njema

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Kambi popote kila la kheri huko huendako Pedro

    Jibu

    Vizuri nihuwamuzi wake Pedro kuondoka kiramtu anamapendekozo yake yeye Kama yeye anataka kusonga mbele

    Jibu

    Kila lakheri Pedro safari popote

    Jibu

    Safari njema

    Jibu

    Alikua kwenye kikosi imara toka alivyotoka Barcelona,pongezi nyingi sana kwake kila laheri aendako

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Kila la heri Pedro tutakukumbuka mashabiki wako wa Chelsea mana ulikuwa nasi pamoja

    Jibu

    Kila la kheri uko uendapo

    Jibu

    Pedro Ze Blues watakukumbuka

    Jibu

    Kila lakheri Pedro wana Chelsea tunakushukuru kwa mchango wako ulio tuonesha.

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Ester Mdogo wangu naona utakua unalia sana timu yako ishakua mbovu mbovu ni kunyukwa tu kila siku

    Jibu

    Yupo vizuri sana pedro ukiangalia stori yake ni mchezaji imara sana akiwa uwanjani

    Jibu

    Kila la kheri uendako#Meridianbettz

    Jibu

    kila la kheri nakutakia mafanikio uko uendako

    Jibu

    Kil la kheri ashamalizah alichikifuate darajan mwamba

    Jibu

    Kapambane

    Jibu

    Atakumbukw kwa mazur

    Jibu

    Kila la kheri Pedro nenda ukang’ae zaidi

    Jibu

    Namtakia mafanikio uko Roma

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Kila LA kheri

    Jibu

    Acha aende tu jamani ni mambo ya kubadirisha upepo#Meridianbettz

    Jibu

    Jamaa anajuaa

    Jibu

    Pedro neto ni winga machachali sana ni mchezaji mwenye kasi uwanjan anajituma mnoo ilibaki kidogo tuu tumnase Pedro kutua Carrington ila katupiga chenga akaenda the blues na nakumbuka alicho fanya fainal pale uingereza katika uwanja wa Wembley na kumfanya fergie kutetemeka juu ya moto aliokua akiuwasha na wenzie ila majeraha na umri nao umeenda kila la kheri pedro

    Jibu

    Big up

    Jibu

    Kapambane

    Jibu

    Asante Pedro kwa wakati wako uliokuwepo Chelsea#meridianbettz

    Jibu

    Safari njema#meridianbettz

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Safar njm

    Jibu

    Pedro kaonyesha kiwango kizuri sema majeruhi yamfanya awe nje ya uwanja

    Jibu

    Pedro n mchezaji mzur sana pia n Jambo zur kubadilisha upepo kwan pedro alikuwa ni sehemu ya kikosi cha Antonio Conte kilichofanikiwa kutwaa taji la Premier League msimu wa 2016/17 wakati pia alibeba taji la FA Cup na Europa League akiwa na klabu hiyo ya jijini London
    Ni habar njema sana kuona ataondoka kwenda Roman kuendelea na sakata la mpira

    Jibu

    Safari njema

    Jibu

    all the best

    Jibu

    safari njema

    Jibu

    Pole yao, waende salama

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Anawakimbia wachezaji wapya wanaokuja

    Jibu

    Duuuh! Inasikitisha

    Jibu

    pedro safari popote kapambane mbele ya safari

    Jibu

Acha ujumbe