Real Madrid Waanza Vibaya Kutetea Ubingwa.

 


Mabingwa watetezi Real Madrid walikabwa koo na kulazimishiwa sare tasa na Real Sociedad katika mchuano wa kwanza wa Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga) msimu huu.

Kikosi hicho cha kocha Zinedine Zidane kilianza kampeni zake wiki moja baada ya timu nyinginezo kwa kuwa kilishiriki soka ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) mwezi uliopita.

Ingawa hivyo, walikosa kuridhisha matarajio ya mashabiki dhidi ya Sociedad na wakapata fursa chache sana za kufunga mabao.

 

Real Madrid Waanza Vibaya Kutetea Ubingwa.

Jaribio la kwanza la Real langoni pa wenyeji wao lilikuwa katika dakika ya 24 ila kombora lake likapanguliwa kirahisi na kipa Alex Remiro.

Mchuano huo ulikuwa wa kwanza kiungo na nahodha wa zamani wa Manchester City, David Silva, kushiriki tangu aingie katika sajili rasmi ya Sociedad.

Sociedad nao walipata nafasi nyingi za wazi ila wakazipoteza. Alexander Isak alisalia uso kwa uso na kipa Thibaut Courtois katika dakika ya 28, sekunde chache baada ya Ander Barrenetxea kupaisha mpira ambao vinginevyo ungewaweka waajiri wake kifua mbele.

 

Real Madrid Waanza Vibaya Kutetea Ubingwa.

Real Madrid walikosa huduma za kiungo Eden Hazard anayeuguza jeraha la kifundo cha mguu kwenye mechi hiyo.

Kuondoka kwa Gareth Bale aliyeyoyomea Tottenham Hotspur kwa mkopo kulitoa nafasi kwa washambuliaji chipukizi wazawa wa Brazil, Vinicius Junior na Rodrygo kushirikiana na Benzema katika safu ya mbele ya Real huku Martin Odegaard akitegemewa pakubwa katika safu ya kati.

 


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

38 Komentara

    Habari njema

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    game ilikua ngumu sana kwa real

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Habari mbaya kwa mashabiki wao

    Jibu

    Game ilikuwa ngumu wajipange mechi zjazo.

    Jibu

    naona mtanangee ulikuwa mgumu kweli kwa Real Madrid

    Jibu

    Sio jambo geni sana kwa kawaidia wachezaji wanapokuwa likizo huwa na kazi moja tu ya kurelax hivyo itachukua muda kidogo kurudi kwenye fomu

    Jibu

    Kwa game ile sio poa kabisa

    Jibu

    Real Madrid sio wakulaumiwa ila mpila ukikataa uwezi kuhufosi kitu kiwezekane Game ilikuwa ngumu Sana wakati mwingine watajipanga vizuri

    Jibu

    Asante kwa makala nzuri@meridianbettz

    Jibu

    Mambo c mazur

    Jibu

    madrid wameanza na kutuvunja mioyo sisi mashabiki kwa kutoka sare zidi ya wapinzani wao

    Jibu

    Wajipange upya

    Jibu

    Hapo ndio zidane hatajua samani ya bale

    Jibu

    wachezaji wanapokuwa likizo huwa na kazi moja tu ya kurelax hivyo itachukua muda kidogo kurudi kwenye form nzur sana

    Jibu

    Madrid walijisau sana naona mechi ijao watajipanga upya

    Jibu

    Wajipange tyu upya!

    Jibu

    Madrid wana dharau sana timu ilo linawakosti mwishon

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Wajikaze mda bado upo

    Jibu

    Habari mbaya kwa mashabiki wa soka

    Jibu

    Duuh madrid wanakwama wapi majanga hayo

    Jibu

    Asnt kwa taarif

    Jibu

    Mwanzo mgumu tu lakini mambo yatakaa sawa tu

    Jibu

    Gud news 👍

    Jibu

    Kwa mchezo hule sio poa kabisa

    Jibu

    Real Madrid haiwezi kutetea ubingwa endapo haitasajili wachezaji wapya, wapo bize kuuza kuliko kununua wachezaji#meridianbettz

    Jibu

    Real Madrid hawana wachezaji

    Jibu

    Mwanzo mbaya lakin wanamda wa kujipanga

    Jibu

    Madrid inasua sua sana haiwez kudumu sna

    Jibu

    Waswahili wanasema mwanzo mgumu ila sina mashaka na madrid watafanya vzuri tu

    Jibu

    Dash majanga ila haina shida msimu ndo umeanza wajipange upya pamoja na kusajili mana dirisha bado halijafungwa

    Jibu

    Madrid walijitahidi sana lakini haikuwa bahati yao gemu ilikuwa tafu sana

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Wanatakiwa kijipanga

    Jibu

    Mwanzo mgumu,jipangeni upya!!!

    Jibu

    Habari mbaya kwa mashabiki wao

    Jibu

Acha ujumbe