Ronaldo Ana Ndoto ya Kucheza Miaka Mingi Zaidi!

Nyota wa Juventus na Ureno, Cristiano Ronaldo anaendelea kusisitiza kuwa ndoto yake ni kucheza miaka mingi kadri iwezekanavyo na kushinda Kombe la Dunia.

Nyota huyu ambaye ameshinda Ballon d’Or mara 5, anaongoza kwa magoli katika ligi kuu ya Italia -Serie A, licha ya Juventus kuwa nafasi ya sita na kutofautiana kwa pointi 10 na vinara AC Milan.

Cristiano Ronaldo Ballon d'Or
CR7 ameshinda Ballon d’Or mara 5

Ronaldo mpaka sasa anahitaji magoli saba tu ya kwenye mechi za kimataifa ili aweze kuifikia rekodi ya dunia ya Ali Daei (kutoka Iran) ya magoli 109.

“Suala la umri halijalishi. Kinachohitajika ni akili. Haijalishi kama Cristiano Ronaldoni bora, huwezi jua nini kitatokea.”

“Ninaishi sasa, wakati huu. Wakati huu ni mzuri, ninahisi furaha na ninajiona niko vizuri katika wakati mzuri wa maisha yangu. Ninatumaini nitacheza miaka mingi, mingi zaidi lakini hauwezi kujua.” – Cristiano Ronaldo

Ronaldo alianza kucheza soka la kulipwa akiwa na Sporting Lisbon, ambako alicheza mechi 31 tu miaka ya 2002 na 2003 kabla ya kuondoka kwenda United wakati huo akiwa na umri wa miaka 18 tu.

Cristiano Ronaldo Sporting Lisbon
Cristiano Ronaldo alikuwa Sporting Lisbon (Miaka ya 2002-2003)

Baada ya miaka sita na United, akiwa amecheza mechi 292 alihamia Liverpool mwaka 2009, ambako alisalia akisakata kabumbu hadi mwaka 2018 alipoamua kuhamia Juventus.

Nyota huyu anaamini ndoto yake inawezekana licha ya kutambua uhalisia kuwa ‘hakuna ajuaye kesho’ hivyo chochote kinaweza kutokea, lakini ana matumaini makubwa katika kutimiza ndoto yake.

Cristiano Ronaldo Man United
CR7 – Man United

VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?

SOMA ZAIDI

19 Komentara

    Safi sana Ronaldo

    Jibu

    Safii Sana Ronaldo

    Jibu

    Safi snaa

    Jibu

    Endelea kukaza buti Ronaldo

    Jibu

    Fundi wa mpira muda wotee#meridianbetz

    Jibu

    Vizuli sana ronaldo

    Jibu

    Inapendeza Sana Ronald

    Jibu

    Safi sana Ronaldo

    Jibu

    Watu wanaangalia ubora kama bado upo ataendelea tu

    Jibu

    Kaza buti utafikia malengo yako

    Jibu

    Inapendeza Ronaldo

    Jibu

    Safi Sana sisi mashabiki zake tunafurahi sana

    Jibu

    Bado yuko fit acha acheze tu

    Jibu

    Itakuwa poa sana akitoa maamuzi ya kucheza mda mrefu mnyama bado analipa

    Jibu

    Ni jambo zuri kama anampango huo

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Safi t

    Jibu

    Aendelee kucheza Ronaldo bado Yuko poa

    Jibu

    Cr atamudu kwa mda mrefu

    Jibu

Acha ujumbe