Mlinzi wa klabu ya Barcelona Sergi Roberto kwa sasa anatafuta timu ya kwenda kucheza kwa msimu ujao baada ya pande zote mbili kushindwa kufikiana makubaliano ya mkataba mpya.

Kocha wa klabu ya Barcelona Xavi Hernández aliwaandikia uongozi wa klabu hiyo mazungumzo yote kuhusu suala la Sergi Roberto, ambaye mkataba wake uniasha mwisho wa msimu huu na anatarajiwa kuondoka huru.

Sergi Roberto, Sergi Roberto Ruksa Kuondoka Barcelona, Meridianbet

Mwaka 2021 mwezi septemba klabu ya Barcelona ilimpa Roberto offer ya mkataba wa miaka miwili hadi mwaka 2024, lakini pande zote mbili hazikuweza kufikia makubaliano kutokana na kiasi cha mshahara ambao klabu ya Barcelona wamepanga kupunguza.

Roberto na wakala wake walikutayari kusaini mkataba mpya, ikiwa tu klabu ya Barcelona wangepunguza mshahara wake kwa asalimia 30%, lakini klabu ya Barcelona wako tayari kupunguza kwa asalimia 40%, hii ilipelekea mazungumzo kuvunjika.

Ijapokuwa kocha wa klabu hiyo Xavi, aliwai kusema hadharani kuwa bado anahitaji huduma ya mlinzi huyo, lakini Sergi amesisitiza kutaka kuondoka.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa