Sevilla Tunautaka Ubingwa -Lucas Ocampos

Kiungo wa Sevilla, Lucas Ocampos anaamini kuwa klabu yake ina ndoto ya kumaliza subira yake ya mda mrefu ya kutwaa ubingwa wa La Liga.

Ocampos anasema bado wana lao kwenye mbio za kuwania taji na hivyo wanatazamia kuchukua taji kwa mara ya kwanza tangia 1946.

Vijana wa Jule Lopetegue, wamefanya vyema katika mechi zao zilizopita na kurejesha matumaini yao kwenye mbio za kuwania taji baada ya kushinda mechi tano mfululizo.

Sevilla Tunautaka Ubingwa -Lucas Ocampos
Lucas Ocampos -Sevilla

Wikiendi iliyopita, Sevilla wameshinda dhidi ya majirani zao Granada bao 2-1 na kwa mujibu wa Campos hii ni ishara kuwa wapo kwenye nja nzuri ya kuutwaa ubingwa wa La Liga.

“Ni wazi kuwa tuna ndoto ya kutwaa taji. Tunajua haitakuwa rahisi kwa kuwa kuna timu zinafanya vyema kileleni. Tutacheza mechi tano za mwisho na kujaribu kufanya jitihada zetu hadi kiwango cha mwisho. Kuna wakati wetu na mashabiki kufurahi, tunajitahidi kufanya kila kitu” -Lucas Ocampos

Mpaka sasa, wikiendi iliyopita imeisha Sevilla wakiwa nafasi ya nne, nyuma kwa pointi moja dhidi ya Barcelona na Real Madrid, pia nyuma kwa pointi moja dhidi ya Atletico Madrid anmbaye yupo kileleni kwa sasa. Makosa yeyote kwa vinara hao yanaweza kuwagharimu kutupwa nje ya mbio za kuwania taji.


 

Kwani Meridianbet Wanasemaje! Mkwanja Upo Kwenye Kasino mpya ya Mini Power Roulette.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

12 Komentara

    Mbona kama ngumu

    Jibu

    Kwa tabu sana

    Jibu

    Ubingwa muhimu

    Jibu

    Waongeze juhudi tu

    Jibu

    Wazidishe juhudi ya mazoezi

    Jibu

    Wakijitahidi watafikia malengo waonyeshe nia tu

    Jibu

    Mjipange ubingwa uje

    Jibu

    Juhudi ndio inayo itajika

    Jibu

    Wazidi kuongeza juhudi ili wasirudi nyuma#meridianbett#

    Jibu

    Mkaze sana la sivyo itabaki maneno tuu

    Jibu

    Wajitaidi waongeze juudi

    Jibu

    Wajitahid sana

    Jibu

Acha ujumbe