Suarez na Usimwamini Muongo hata Akisema Ukweli

Ushawahi kusikia huu msemo sehemu yoyote ile sasa iko hivi mapema kabisa mwanzoni mwa wiki jana kulikuwa na taarifa kwenye kitalu namba tatu cha mitaa ya Agustín de Betancourt nchini Hispania pale mjini Madrid kuwa kijana wa Diaz Alberto yaani Luis Suarez yupo maeneo hayo akifanya mtihani wa lugha ya kiitaliano ili aweze kupata ruhusa ya kuingia Italy (kwa mujibu wa sheria) kukamilisha usajili wa kujiunga na Juventus.

Kwa mujibu wa Fabrizio Romana(Kama humjui huyu achana na maswala ya tetesi za usajili) anyway huyu ni muandishi nguli sanaaa wa mambo ya tetesi za usajili barani Ulaya, Luis Suarez alikuwa tayari kwenda kucheza timu moja na mnyama Giorgio Chielline mtu aliyemfanyia undava kwenye michezo ya kombe la Dunia mwaka 2014 pale Brazil kwa kumngata meno kwa makusudi kabisa.

Naskia Chiellini na Suarez walishamaliza tofauti zao na wako sawa tu lakini siku kadhaa baadae tukasikia kuwa Suarez anataka kwenda zake Atletico maana Juve wana mpango na mtu mwingine sio yeye tena cha kushangaza ni kwamba inaelezwa kuwa Luis Suarez alifanya udanganyifu kwenye mtihani wake wa lugha kwenye Ubalozi wa Italy huo licha ya kufaulu vizuri tu.

Tabia za kujiangusha na kuzawadiwa penati na faulo kaleta kwenye maisha. Anafikiri watu wanasahau vitendo vyake alivyowahi kufanya.? Dhidi ya Ghana, dhidi ya Chiellin au Evra na mengi mengineyo.

“Usimwamini Muongo hata akisema ukweli”…. Fid Q


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

37 Komentara

    Suarez inabidi akubaliane na matokeo tu inabidi abaki barca au atafute klabu nyingine ya kutumikia

    Jibu

    Suarez na chiellini wamalize tu ugomvi wao mambo yaendelee king kwani hayo ndio maisha ya mpila

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Goodupdate

    Jibu

    Asante kwa makala nzuri

    Jibu

    Suarez inabidi akubaliane tu na matokeo

    Jibu

    Mmmh

    Jibu

    Ila kweli jaman

    Jibu

    Kweli muongo hata akisema ukweli haaminiki

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    hawa nao wanatuvuruga tu akili suarez akae tu barca atulie

    Jibu

    Muongo muongo tu

    Jibu

    Suarez abaki tu barca

    Jibu

    Ukweli humuweka mtu huru

    Jibu

    Duh

    Jibu

    Suarez atafute Clab nyingine.

    Jibu

    Suarez tatz umli umeenda

    Jibu

    Maneno hayooo

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Suarez vituko vyake ndio vinamshusha thamani

    Jibu

    Suarez atafute club maana umri nao umeenda

    Jibu

    wanatuchanganya tu km vp abakie tu apo apo barca

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Yupo kama mtoto hakui tu

    Jibu

    Kazi kweli

    Jibu

    Duh hatar sana

    Jibu

    Makala nzuri sema mwandishi umemuhukumu Suarez sana, Jamaa ni talented hili halina ubishi kweli kama Professional alikosea kummg’ata Chellin lakini kwenye swala la kusakata kambumbu Suarez ni moto wa kuotea mbali zile nyingine ni mbinu za kivita katika mchezo wa mpira

    Jibu

    Dah msemo mpya huu! Ingawa umri umeenda lkn naamini Suarez atafanya vzr sana#meridianbettz

    Jibu

    Asnt kwa taarif

    Jibu

    Suarez atakama umli umeenda ila anaupiga mpila

    Jibu

    Suarez barcelona ndio panamfaa

    Jibu

    Basi katisha kama muongo muongo ni balaa

    Jibu

    Eti

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Yuko sahihi

    Jibu

    Duh hana jinsi

    Jibu

    Makala nzuri sema mwandishi umemuhukumu Suarez sana, Jamaa ni talented hili halina ubishi kweli kama Professional alikosea kummg’ata Chellin lakini kwenye swala la kusakata kambumbu Suarez ni moto wa kuotea mbali zile nyingine ni mbinu za kivita katika mchezo wa mpira

    Jibu

Acha ujumbe