Tonali Azipiga Chini Man United na Barcelona Aitaka Milan.

Sandro Tonali amevipiga chini vilabu vya Barcelona na Manchester United kwa sababu alitaka kujiunga na Milan, hii ni kwa mujibu wa rais wa Brescia Massimo Cellino.

Tonali ameitwa mara tatu katika kikosi cha timu ya taifa, na alikuwa ni sehemu ya timu ya Brescia msimu 2019-20 ingawa walishuka daraja kushiriki ligi kuu ya Italia maarufu kama Serie A.

Mchezaji huyo umri wa miaka 20 alikuwa kwenye tetesi kubwa za kuhamia klabu ya Inter, lakini sasa anajipanga kujiunga na AC Milan.

Cellino amesema Tonali alikuwa anapendelea kujiunga na Milan licha ya kupata ofa kutoka Barcelona na Man United.

“Mwezi Janauari alipokea ofa yenye thamani €65 kutoka Barcelona,na hazikupita siku 10 akapata ofa nyingine kubwa kuzidi ile ya Milan kutoka Manchester United,” aliiambia Top Calcio 24.

“Lakini kijana alikuwa amelenga kwenda Rossoneri.”

Cellino aliongeza: “Tunajua kwamba Antonio Conte alikuwa ana mfikiria sana Tonali, lakini mimi pia nilishawishika kuona Tonali anakwenda Inter ila kijana amechagua Milan.


Beti Mbio za Mbwa Mubashara

Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.

Cheza Hapa

37 Komentara

    Asante meridianbet kwa habari mzuri

    Jibu

    Ni Jambo zuri maan yy ndo mchezaji na anajua wapi aende!!

    Jibu

    maamuzi mazuri kikubwa unaangalia mkwanja tu

    Jibu

    Ajafanya vibaya tonali kwan anauwamuzi wake binafsi wap aende na wapi apakatae kwani yy ni mchezaji tu anaangalia kwenye maslai#Meridianbettz

    Jibu

    Kafanya maamuz mazur sana 👍 kwa kujiunga na ac Milan maana itampa namba nzur sana na kwa nafasi nzur kutokana na uwezo wake

    Jibu

    Kikubwaa maslahi tu

    Jibu

    maamuzi mazuri amefanya kachagua kile moyo wake unachopenda

    Jibu

    Maamuzi yake yapo sahihi kwa kuchagua Milan watamuangalia kiwango chake naamini watampa namba nzuri

    Jibu

    Ni maamuzi mazuri kikubwa ni maslahi tuu

    Jibu

    Ameenda timu anayoipenda

    Jibu

    Vizuri uwamuzi anao yeye kwenda timu anayo itaka kwaio uwamuzi wake Apo ulipo fikia ndio alicho kisema anaenda timu furani kafanya vizuri kusema ndio moyo ulivyo penda kwake kwenda Milan

    Jibu

    Napata mashaka labda Sandro Tonali anaogopa changamoto ya Namba katika Vilabu vihi vikubwa

    Jibu

    gud news

    Jibu

    Tonal ameana bora aende Milan huko anaweza akapata nafasi nzuri na kupanda daraja

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Bora abadilishe upepo

    Jibu

    Nice

    Jibu

    sawa ndo chaguo lake kuchezea milan

    Jibu

    Mahamuzi magumu

    Jibu

    Panamfaa pia

    Jibu

    Inapendeza sana nenda ukaongeze nguvu#meridianbett

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Kipendacho roho maamuzi yake

    Jibu

    Kila mtu anachagua anachokipenda

    Jibu

    Duh noma sana hiiii

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Yan barca inakataliwa na wachezaji siku hizii!!?

    Jibu

    Kachagua sehem anayopend

    Jibu

    Maamuzi ni yake

    Jibu

    Kupanga ni kuchagua maamuzi yako ndani yake!!!!

    Jibu

    Maamzi ni yake

    Jibu

    Nadhani chaguo sahihi kwake na ndoto zake zilikua kuja kutumikia Milan.

    Jibu

    Hana maamuzi yake binafsi mwenyewe

    Jibu

    Kafanya chaguo nzuri itampa namba nzur sana na kwa nafasi nzur kutokana na uwezo wake

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Duh

    Jibu

    Habari ziko poa sana

    Jibu

Acha ujumbe