Klabu ya Tottenham Hotspur ni miongoni mwa vilabu ambavyo vimefanya mawasilioni na wakala wa Marco Asensio kuhusu uwezekano wa kupata saini yake kwenye majira ya kiangazi ambapo klabu ya Real Madrid wanatarajia kumuweka sokoni mwishoni mwa msimu.

Marco Asensio mpaka sasa ameichezea klabu hiyo michezo 26 huku akiwa ameanza kwenye michezo 15 huu. Japokuwa kuna sintofahamu kati yake na klabu ya Madrid na kupelekea kuwekwa sokoni mwisho wa msimu.

Mkataba wa Asensio na Madrid unamalizika mwaka 2023, mpaka sasa amekataa mkataba ambao klabu hiyo imemuandalia, ndio maana wanataka kumuweka sokoni mwishoni mwa msimu ili kuweza kupata pesa na kuzui kutompoteza bure baada ya msimu huu kuisha na wako tayari kusikiliza offa inayoanzia £30million.

Kulingana na taarifa zilizopo ni klabu mbili tu mpaka sasa kutoka Uingereza ambazo zimefanya mawasiliano na wakala wa Asensio kuhusu kupata huduma yake ambazo ni Tottenham na Arsenal.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa