Klabu yaValencia CF imethibitisha kumfukuza rais wa klabu hiyo Anil Murthy baada ya kuvuja kwa jumbe ya sauti ambayo akimtisha mchezaji na kumkosoa mmiliki wa klabu hiyo Peter Lim, kufuatiwa kwa mtiririko wa jumbe zake sa sauti kuvuja.

Kwenye waraka wa klabu ya Valencia ulisema, “kubadili uongozi kunahitaji kupata imani ya mashabiki na jamii kwa pamoja ili kuiweka Valencia CF kwenye nafasi nzuri ya mafanikio. Kwa hatua za haraka, Anil Murthy atakoma kuwa rais na muajiriwa wa Valencia CF.”

Valencia CF, Valencia CF Wamtimua Rais wa Klabu, Meridianbet

Kwenye jumbe ya sauti iliyorekodiwa, na kuchapishwa April  na gazeti Valencian newspaper Superdeporte, Murthy alisikika akimtishia kuaharibu heshima yake kiungo wa klabu ya Valencia Carlos Soler ikiwa tu ataondoka klabuni hapo huru.

Murthy alisikika tena kwenye jumbe  iliyotenganishwa akimuita Lim “asiyejiweza” huku akidai kuwa mmiliki wa klabu hiyi ni mshabiki sana kufanya maamuzi muhimu kwa ajiri ya biashara.

“Bodi ya klabu hiyo imethibitisha kuwa maneno yaliyovuja ya mazungumzo kati ya  Anil Murthy na aliokuwa akifanya nao mazungumzo ni maono yake yeye na sio ya  Valencia CF. Valencia CF haihisiki na maono yake.” Waraka ulisomeka

Murthy kuondoka kwake kuna kunatengeneza sintofahamu ya nani atakayeweza kuchukua nafasi yake kwenye kipindi ambacho klabu ipo kwenye kipindi kigumu. Ambapo wachezaji wamekuwa wakipitia kipindi kigumu cha kupunguzwa mishara na wale wachezaji muhimu wakiuzwa.


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa