Wagombea wa Tuzo ya Ballon d'Or Watajwa

Orodha ya majina 30 yanayowania tuzo ya Ballon d’Or, mwaka huu ilitolewa siku ya Ijumaa alasiri na Jarida la Soka la Ufaransa.

Wagombea wa Tuzo ya Ballon d'Or Watajwa

Sherehe hizo zitafanyika mwezi Novemba 29 baada ya mwaka jana kutofanyikaΒ  sababu ya COVD-19, na wakati Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wameongoza tuzo hiyo kwa muongo mmoja uliopita, sasa itakuwa ngumu sana kwa wachzaji hao kushinda tuzo sababu yaΒ  2021.

Kwa kufurahisha, Gianluigi Donnarumma ni miongoni mwa orodha ya wachezaji 30 na anatarajia kuwa kipa wa kwanza katika historia kushinda tuzo hiyo baada ya mwaka ambao alishinda Euro 2020 na Italia.

Wanaowania Tuzo ya Ballon d’Or 2021

GOLIKIPA

Gianluigi Donnarumma (PSG)

WALINZI

Leonardo Bonucci (Juventus)
Giorgio Chiellini (Juventus)
Simon Kjær (AC Milan)
Cesar Azpilicueta (Chelsea)
Ruben Dias (Manchester City)

VIUNGO

N’Golo Kante (Chelsea)
Mason Mount (Chelsea)
Nicolo Barella (Inter Milan)
Bruno Fernandes (Manchester United)
Pedri (Barcelona)
Luka Modric (Real Madrid)
Kevin de Bruyne (Manchester City)
Jorginho (Chelsea)
Phil Foden (Manchester City)

WASHAMBULIAJI

Riyad Mahrez (Manchester City)
Erling Haaland (Borussia Dortmund)
Harry Kane (Tottenham)
Karim Benzema (Real Madrid)
Raheem Sterling (Manchester City)
Lionel Messi (PSG)
Neymar (PSG)
Lautaro Martinez (Inter Milan)
Robert Lewandowski (Bayern Munich)
Mohamed Salah (Liverpool)
Romelu Lukaku (Chelsea)
Cristiano Ronaldo (Manchester United)
Kylian Mbappe (PSG)


SPACE SPIN NA MERIDIANBET.

Ni Mabingwa pekee Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda zaidi na mchezo wa Space Spin katika kasino bomba za meridianbet. Ni wakati wa kufurahia na kutengeza mkwanja bila kuwaza.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe