Klabu ya Leicester City imeripotiwa kuwa wapo katika hatua za awali za kumfuatilia Josh Doig kabla ya kufanya maamuzi makubwa juu ya kuiwinda saini yake.

Hii si mara ya kwanza kwa staa huyu kinda wa miaka 18 kuhusishwa na uhamisho wa kwenda Ligi ya Primia, tayari awali alishahusishwa na Manchester City, Leeds United na Arsenal.

Kwa mujibu wa chanzo cha habari cha the Sun, Leicester ndiyo klabu ya ambayo imeonesha nia ya kumtaka staa huyu katika kipindi cha hivi karibuni kabisa, na kijana huyu anatajwa kuwa na thamani ya £1.5m sokoni.

Leicester City Wanamtazama kwa Ukaribu Josh Doig

Leicester wanaripotiwa kuwa tayari wameshwa watuma wafuatiliaji wao kufuatilia nyendo sta staa huyu katika matukio ya mechi za hivi karibuni, na taarifa yao itawasaidia kufanya maamuzi ya msingi ya kuwasilisha ofa yao au lah.

Doig bado ana mkataba wa miaka minne zaidi na Easter Road, lakini timu hiyo imebainisha kuwa inaweza kuwa tayari kumuacha aondoke.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

CHEZA HAPA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa