Klabu ya RB Leipzig kutoka ujerumani imedia inahitaji €30m kama ada kwaajili ya sajili wa kocha wao Julian Nagelsmann, 33, anaye hitajika na mabingwa wa bundesliga Bayern Munich.

Tetesi zinasema Bayern wamekwisha fungua mazungumzo na kocha huyo kwaajili ya kuchukua nafasi ya kocha wao wa sasa, Hansi Flick anayetarajiwa kujiunga na timu ya taifa ya Ujerumani mwishoni mwa msimu.

Dau la kocha huyo wa Leipzig hili linategemea kuvunja rekodi ya usajili mkubwa kuwahi kutokea kwa kocha katika historia ya mpira wa miguu duniani.

Nagelsmann amefundisha bundesliga kwa miaka mitano pale alipoanza kuinoa Hoffenheim akiwa na miaka 28 tu. Na baadaye mwaka 2019 kujiunga na RB Leipzig.

Nagelsmann amefanikiwa kufika nusu fainali ya ligi ya mabingwa UEFA akiwa na RB Leipzig na kufungwa na Paris Saint-Germain, huku msimu huu akiwa katika nafasi ya pili nyuma ya Bayern Munich katika msimamo wa Bundesliga.

 


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

 

leipzig, Leipzig Wanataka €30m kwa Nagelsmann., Meridianbet

CHEZA HAPA

10 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa