Robert Lewandowski ni mtambo wa mabao hilo halina ubishi baada ya kumaliza msimu wa 2020-21 akiwa kinara wa upachikaji magoli ulaya katika nagazi ya klabu.

Lewandowski wa Bayern Siyo Huyu wa Poland

Rekodi yake ya ufungaji kwa Borussia Dortmund na Bayern Munich ni ya kuvutia sana, lakini starika huyo wa Poland lakini anashughuli moja kubwa ya kuifaniksha katika soka lake.

Lewandowski ni mfungaji bora wa muda wote wa Poland akiwa ameweka kambani mabao 66 lakini fowadi huyo amefunga mabao mawili pekee katika mashindano makubwa ya kimataifa.

Poland siyo timu bora sana kwenye suala zima la ufungaji kwenye mashindano yanayoendelea, lakini mchezaji wao tegemezi kitakwimu siyo yule ambaye unaweza kumtumainia kutokana na ubora wa straika huyo.

Katika michezo 12 kati ya Kombe la Dunia na Ubingwa wa ulaya Lewandowski amefunga mabao mawili pekee, moja dhidi ya Portugal kwenye michuano ya Euro 2016 na lingine dhidi ya Ugiriki kwenye Euro 2012.

Poland wanatarajia kuwakabili Spain katika mchezo wa pili katika kundi lao baada ya kupoteza kwa Slovakia mchezo wa ufunguzi ana Lewandowski ameshindwa kufunga katika majaribio 17 akiwa na timu ya taiafa.


SHINDA TSH 150,000,000/=

Mtaani kumechangamka, washkaji wanakamata mkwanja kwa mkakati tu na Footbal Fever! Ni rahisi, changamkia fursa hii kushinda mgao wako wa TSH 150,000,000/= 💰🤑

Atletico, Atletico Waunga Tela kwa Calhanoglu, MeridianbetINGIA MCHEZONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa