Nyumbani Ligue 1

Ligue 1

Ronaldo: Vyovyote Itakavyo Kuwa Fresh Tu

1
Cristiano Ronaldo alionekana mbele ya waandishi wa habari kuzungumzia mambo yote Ureno kabla ya kampeni yao ya Euro 2020 kuanza Jumanne, lakini alibanwa wakati mmoja juu ya hatma yake katika kiwango cha klabu. Kumekuwa na ripoti nyingi zinazomuunganisha Cristiano na...

Mbappe: Niliathiriwa na Lawama za Giroud

3
Kylian Mbappe anakiri kwamba "aliathiriwa" na malalamiko ya Olivier Giroud juu ya wachezaji wenzake wa Ufaransa kutompatia pasi lakini anasisitiza kuwa hataki kufanya kuwa suala kubwa. Giroud alisema baada ya timu yake kuipiga Bulgaria katika mchezo wa kirafiki kwamba alikuwa...

Barcelona Inataka Kumtangaza Depay Lakini…..?

3
Barcelona bado wanafanya kazi ya kumsaini Memphis Depay juu ya uhamisho wa bure, lakini mazungumzo yamekwama kidogo. Kikosi cha Kikatalani kilitaka kumtangaza mshambuliaji huyo kama usajili wao mpya kabla ya mchezo wa kwanza wa Uholanzi kwenye Euro 2020 Jumapili usiku,...

Mbappe: Napakubali PSG lakini ni Sehemu Bora Kwangu?

2
Mkataba wa Kylian Mbappe unatarajia kuisha mwaka ujao majira ya joto na Mfaransa huyo amesema kwamba bado hana uhakika kama Paris Saint-Germain ni sehemu bora kwake. Mchezaji huyo wa ufaransa ni moja ya wachezaji bora na akiwa na umri wa...
Depay: Naizingatia Euro 2020 kwanza

Depay: Naizingatia Euro 2020 kwanza

2
Memphis Depay anafikiria tu kwanza mashindano ya Euro 2020 na timu yake ya Uholanzi, na mustakabali kuhusu hatima yake ameweka pembeni kwanza kwa sasa. Mholanzi huyo anaondoka Lyon msimu huu wa joto, lakini bado haijulikani ikiwa atajiunga na Barcelona, ​​Juventus...
Ufaransa: Hali si Shwari Sana kwa Mbappe na Giroud

Ufaransa: Hali si Shwari Sana kwa Mbappe na Giroud

5
Ufaransa ndiyo taifa linalopewa nafasi kubwa ya kushinda Mashindano ya Ulaya msimu huu wa joto, lakini kuna machafuko katika kikosi cha Les Bleus baada ya Kylian Mbappe kutokubaliana na maoni yaliyotolewa na Olivier Giroud. Mshambuliaji huyo wa Chelsea alitoka benchi...
Benzema Huenda Akacheza Dhidi ya Germany

Benzema Huenda Akacheza Dhidi ya Germany

3
Karim Benzema hajaumia sana katika mchezo wa Ufaransa dhidi ya Bulgaria Jumanne na anatarajiwa kupatikana kwa mchezo wa ufunguzi wa Mashindano ya Ulaya dhidi ya Ujerumani mwezi Juni 14. Mshambuliaji huyo wa Real Madrid alicheza katika mchezo wa kirafiki wa...

Marseille Mbioni Kumsajili Coutinho

2
Marseille wameripotiwa kumuelekezea macho Philippe Coutinho, ambaye pia amevutia timu kadhaa za Premier League kama vile Everton na Arsenal. Kiungo huyo wa kati wa Brazil alijitahidi kuwa na utimamu wa mwili msimu uliopita kutokana na jeraha la goti la meniscus,...
Kujisajili Meridianbet

Kujisajili Meridianbet ni Rahisi, Hauwezi Kukwama!

62
Meridianbet Ndiyo kampuni bora namba moja ya ubashiri Tanzania! Ni rahisi kujisajili Meridianbet! Tunakupatia machaguo ya michezo mingi na yote maarufu kutoka kona zote za ulimwengu. Usijiulize Kwa nini uchague Meridianbet! Ndiyo kampuni yenye Odds kubwa, zinazolipa zaidi. Michezo mingi inayokuwa...
Mbappe: Hernandez Aliniambia Nijiunge na Bayern

Mbappe: Hernandez Aliniambia Nijiunge na Bayern

2
Kylian Mbappe amezungumza juu ya Bayern Munich wakati akielezea kwamba Lucas Hernandez amemshawishi ajiunge na miamba ya Bundesliga. Mbappe amehusishwa sana na uhamisho wa pesa nyingi kwenda Real Madrid kabla ya kipindi cha uhamisho wa msimu wa joto, akiwa bado...

MOST COMMENTED

Kurasa za Mbele za Magazeti Kuhusu Kifo cha Maradona.

19
Kifo cha gwiji wa soka ulimwenguni Diego Maradona kimeshitua watu wengi na kimefanya kuwa habari kubwa kwenye vyombo vya habari sehemu mablimbali dunia. Mkongwe huyo...

Man City Kumwania Aké

HOT NEWS