Depay - Tunaweza Kuwatoa Juventus.

Memphis Depay anaamini katika nafasi waliyonayo Lyon wanaweza kuwaondoa Juventus kwenye michuano ya Champions League.

Lyon itakabiliana na timu ya Juventus siku ya Ijumaa wakiwa katika dimba la Turin, kwa mchezo wa marudiano baada yamashindano kusimama kwa takribani miezi mitano kufuatia kuzuka kwa virusi vya Corona.

Depay, ambaye amefunga goli 5 katika michezo mingi aliyocheza katika mashindano hayo kwa msimu wa 2019-20, amerudi kutoka kwenye majeraha na nyota huyo mshambuliajianaamini Lyon wanaweza kuwaondosha mabingwa wa Serie .

“Lazima niseme historia zinaongea kwamba sijafanikiwa kwenye Champons League msimu huu,” alisema Depay

“Nimecheza michezo mitano na Ijumaa nitaendelea kujaribu kadri ya uwezo wangu, nadhani timu nzima inastahili pongezi kwa mchezo wa kwanza walipocheza dhidi ya Juve. Sikuweza kucheza lakini imani na uwezo wa wachezaji na nguvu ya mashabiki ilisaidia timu kufanya vizuri.

“Tunatakiwa tufanye hivyo pia bila uwepo wa mashabiki na kikosi kimekamilika, na uongozi wote tuanatikiwa kuhusika kwenye mchezo huu.”

Depay alifurahia msimu huu hapo Lyon kabla hajapata tatizo la goti mwezi Disemba, Depay amesema kwamba amepata uzoefu mzuri msimu wa 2019-20.

“Nina miaka 26 katika umri huu nimepevuka na nimepata uzoefu kwa mechi nilizo cheza na kunawakati vitu huongea mwenyewe,” Depay alisema.

“Nafikiria namna ya kuisadia timu yangu na kuwa mtu mzuri katika timu, kuhusika, kucheza mpira mzuri, nahisi kama nililega kidogo kucheza soka zuri.”


Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.

Ingia mchezoni

38 Komentara

    Hakuna kinachoshindikana kikubwa ni kumsikiliza mwalimu na kujituma kwa nguvu zote wanaweza kushinda.

    Jibu

    Asante kwa makala#Meridianbettz

    Jibu

    kikubwa ni kujituma kwa jitihada
    zaidi mnaweza mkashinda

    Jibu

    Mwalimu Ni kila kitu
    #meridianbettz

    Jibu

    Kwa ujasiri huo mnaweza kushinda kama mtakuwa mnamsikiliza mwalimu na mtapata matokeo mazuri

    Jibu

    Inawezekana ila wamuangalie CR7 mtu mbaya.

    Jibu

    Kunakitu kinashindikana jitiada zitumike tu na hitawezekana

    Jibu

    Kwa ujasili huo mnaweza kushinda#meridianbettz

    Jibu

    Ha ha ha juve wamejipanga

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Kunakitu kinasemwa ivi usikubali kushindwa mkijipa moyo nakujiamini ndio kitu chamsingi nikujiamini tuu Kama kuweza tunaweza kupambana

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Ni kujituma kwenu na kuangalia mwalimu kasem nn na umakin ndo chamsing hapo

    Jibu

    Usimalize maneno de pay ngoja tujionee wenyewe leo kwenye mtanange huu

    Jibu

    Tunataka tuone hayo maneno uwanjani yakifanya kazi mchawi dakika 90

    Jibu

    Inawezekana! Kikubwa ni kujituma…

    Jibu

    Lengo la Juventus kumusajiri Ronaldo ili asaidie timu kupata mafanikio ktk michuano hii maarufu barani Ulaya hivyo sidhani itakuwa rahisi hivyo kwa Lyon kushinda mechi#meridianbettz

    Jibu

    Hakuna kitu kinashindikana jini ya jua kikubwa ni kujituma

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Lyon safari

    Jibu

    Inawezekana kabisa

    Jibu

    Jitihada tu

    Jibu

    Majibu ya mechi baada ya mchezo kuisha dk 90 Ila wabashiri tunaandaa jamvi mapema kabisa na matokeo tunayajua

    Jibu

    Hizo zitakua ni ndoto

    Jibu

    Hatutaki maneno tunasubir vitendo!!!

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Kwenye nia pana njia inawezekana kikubwa jitihada tuu

    Jibu

    Wakiamua wanaweza

    Jibu

    Juhudi zao tu tunazozitaka

    Jibu

    Inawezeka juhudi na kujituma ni muhimu.

    Jibu

    Bahati ya Lyon na juhudi za wachezaji zimeleta matunda, ni hatua nzuri sana wamefika kwenye Uefa kama wataendelea kupambana basi huenda wakafanya makubwa zaidi

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Mnachotakiwa ni kujituma hakuna kinachoshindikana

    Jibu

    ilikuwa game matata sana

    Jibu

    Mechi ilikua atalii

    Jibu

    Uwezo anao na nia anayo

    Jibu

    Maneno take yametimia wamewatoa kweli

    Jibu

    Haya maneno wala Depay hajayatupa

    Jibu

Acha ujumbe