Giroud Nahitaji Kushinda Ubingwa na Ac Milan

Mshambuliaji wa Ac Milan Oliver Giroud anahitaji kuvaa ‘Scudetto’ medali ya Seria A akiwa na miamba ya Rossoneri.

Mshindi huyo wa ligi ya mabingwa 2020-21 akiwa na Chelsea kabla ya kutimkia Ac Milan, hajavaa medali ya ligi kuu tangu alivyofanya hivyo na Montpellier walipochukua ubingwa wa ligi kuu ya Ufaransa Ligue 1 mwaka 2011/2012.

Giroud
Pioli na Giroud

Ac milan hawajachukua ubingwa wa Serie A tangu 2011, msimu huu Ac milan anashika nafasi ya pili huku Napoli akiwa anaongoza kwa pointi 25 sawa na Ac milan huku wakipishana magoli ya kufunga na kufungwa.

“Bado nina imani kuwa naweza shinda ubingwa wa ligi nikiwa na klabu yangu hii mpya” alisema giroud.

Stefano Pioli ameifikisha michezo 100 akiwa na Ac milan kwenye mashindano yote ikifuatiwa na ushindi alioupata jumamosi dhidi ya Bologna, Milan wameshinda mechi zake 8 kati ya 9 kwenye michezo ya ufunguzi wa Seria A  kwa mara ya pili kwenye historia baada ya kufanya hivyo mwaka 1954-55.


MCHONGO WA PESA NA CIRCUS FEVER

Mchongo wa mkwanja mrefu kutoka kasino bora za mtandaoni za Meridianbet. Mchezo wa Circus Fever unakuweka katika nafasi nzuri ya kuwa mshindi. Furahia kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa meridianbettz.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe