Klabu ya Man United inajianda kufanya mazungumzo na mchezaji wa lille ambaye yuko kwenye mazungumzo na klabu ya Ac Milan ili kumshawishi kuweza kukubali kwenda kucheza kwenye ligi kuu ya Uingereza.

Ac Milan wapo kwenye mazungumzo ya kumshawishi mchezaji huyo mwenye miaka 22 ambaye anacheza nafasi ya ulinzi mwenye thamani inayokaribia £25million kuweza kutua kwenye viunga vya San Sirro.

Man United

Football Insider wameripoti kuwa klabu ya Man United inangalia uwezekano wa kufanikisha uhamisho wa Botman kwa gharama zitakazo kuwa rafiki ili kufanikisha  uhamisho huo.

Botman anaelewa kuwa klabu zote hizo zinahitaji huduma yake na moja tayari ipo kwenye mazungumzo na makubaliano ya mazungumzo ya awali yashafanyika. United bado wako sokoni kutafuta mlinzi wa kati  na wanaelewa kuwa kocha wao ajaye anapendelea mlinzi ambaye anatumia mguu wa kushoto.

Botman ameichezea Lille michezo 78 huku michezo 31 akiwa ameingia kwenye msimu huu. Klabu Newcastle mwezi January ilijaribu kumsajiri lakini ilishindwa kufanikiwa na bado wanatarajiwa kurudi kwenye dirisha la majira ya kiangazi.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa