Mbappe Hajui Hatma Yake PSG

Fowadi wa Paris Saint-Germain Kylian Mbappe amekiri kwamba bado hana uhakika na hatma yake wakati ya mazungumzo ya mkataba na mabingwa wa Ufaransa yakiendelea.

Nyota huyo wa zamani wa Monaco anaendelea kuhusishwa na uhamishaji wa mkwanja mrefu kwenda Liverpool au Real Madrid, wakati mkataba wake wa Parc des Princes unakamilika msimu wa joto wa 2022.

Mbappe amebainisha kuwa mazungumzo yanaendelea kuhusu makubaliano mapya, lakini pia amethibitisha kuwa bado hatasaini makubaliano mapya aliendelea kufanya tathmini.

Kylian Mbappe

Akizungumza na waandishi wa habari baada wiki iliyopita baada ya ushindi dhidi ya Montpellier HSC, Mfaransa huyu aliyeshinda Kombe la Dunia alisema: “Niko katika kipindi cha kutafakari.

“Nataka kujua ninachotaka katika miaka michache ijayo – wapi nataka kuwa. Nina furaha hapa, lakini sitaki kusaini mkataba na kuondoka mwaka mmoja baadaye.”

Magoli mawili ya Mbappe katika ushindi dhidi ya Montpellier kumemfikisha hadi magoli 14 ya ligi kwa msimu huu, lakini PSG inaeleweka kuwa wapo tayari kwa kumuuza msimu huu wa joto ikiwa hatatoa hatma yake kwa klabu.


MSHINDANI HUSHINDA BWANA!

Anayejaribu hawezi kutoka kapa Meridianbet! Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuhakikishia ushindi mkubwa kila unapojaribu kuingia mchezoni. Washindi hushindana, ingia mchezoni!

Fairy-in-Wonderland_Casino-Post_25-January

CHEZA SASA

14 Komentara

    Monaco ni mtu makini Sana

    Jibu

    Itakuwa sasa

    Jibu

    Asijal Mambo yatakuwa manzur

    Jibu

    Mbappe atulize kichwa

    Jibu

    Mbappe bado hajakubali matokeo

    Jibu

    Mbappe abakie tu psg

    Jibu

    Mbappe wanamzingua tu

    Jibu

    mbappe abakie apo apo

    Jibu

    Mbappe analia tuu

    Jibu

    Nyota huyo wa zamani wa Monaco anaendelea kuhusishwa na uhamishaji wa mkwanja mrefu kwenda Liverpool au Real Madrid, wakati mkataba wake wa Parc des Princes unakamilika msimu wa joto wa 2022.

    Jibu

    Ni wakati wa mbape kujiunga nazidane

    Jibu

    Hapa mchawi ni Real Madrid kwani ndio wanamuwinda Mbappe

    Jibu

    Uamuz ni wako

    Jibu

    Atajua tu

    Jibu

Acha ujumbe