Mbappe Hatihati Kuikosa Michuano ya Mabingwa Ulaya.


Kyllian Mbappe yupo katika hatihati za kuikosa ligi ya mabingwa ulaya baada ya kupata jeraha kwenye mchezo wa fainali ya Coup de France.

Mshambuliaji wa Psg, Kyllian amejikuta katika wakati mgumu baada ya kufanyiwa madhambi na Loïc Perrin na huenda akaukosa mchezo dhidi ya Atalanta utakaopigwa huko Lisbon.

Mbappe Hatihati Kuikosa Michuano ya Mabingwa Ulaya.

Mshambuliaji huyo alitolewa uwanjani katika kipindi cha kwanza huku akiwa analia kutokana na rafu mbaya sliyofanyiwa na Perrin ambaye alikirukia kifundo cha mguu (ankle)  kitendo kilichopelekea kuoneshwa kadi nyekundu mara baada ya kutazama tukio hilo kupitia VAR.

Tukio hilo huenda likamkosesha Mbappe mchezo dhidi ya Atalanta hapo tarehe 12 ya mwezi Agosti ama akaikosa michuano yote iliyosalia ya ligi ya mabingwa Ulaya.

Mbappe Hatihati Kuikosa Michuano ya Mabingwa Ulaya.

 

Pamoja na hayo yote lakini haikumzuia Mbappe kuja kunyanyua kikombe chake cha 10 katika soka lake la kulipwa.


Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.

Soma Zaidi

49 Komentara

    Ukiangalia history yake mbappe hanandoto kubwa ya mafanikio katika clabu yake pole sana hizo ni changamoto tu muombe mungu hutapona na hutarudi kwenye ali yake ile ya kawaida na ndoto zako zitatimia

    Jibu

    Duuh!!pole sana mbappe#meridianbettz

    Jibu

    Mbappe pole sana kwa kufanyiwa madhambi …..

    Jibu

    Ajali kazini, apole sana Kyllian..

    Jibu

    Pole yake mbappe

    Jibu

    Pole yake mbappe

    Jibu

    Hili ni pigo kwa psg

    Jibu

    Pole sana mbappe

    Jibu

    Daa pole yakee Mbappe Wana PSG wanapigo lakumia kwa mbappe

    Jibu

    Asee pole sana mana pengo ulilo liacha la kuwabana Atalanta ni kubwa sana itabidi kocha wa PSG afanye kazi ya ziada sana mbappe alikuwa ni mchezaji ambae ukimkutanisha na wezake nerymaa uhakika wakishinda upo asilimia kubwa sana .

    Jibu

    Pole Sana mbappe

    Jibu

    get well soon mbappe

    Jibu

    Habar mbaya,mungu atakusaidia afya yako itaimalika Tena!

    Jibu

    Pole Sana mbappe ucijali utapona

    Jibu

    Pole sana mbappe utapona

    Jibu

    Si tu Mbappe ni mchezaji mahiri bali pia ana moyo safi wenye fadhili hasa nikikumbuka pesa yote aliyopata wakati wa kombe la dunia aligawa zote kama msaada#meridianbettz

    Jibu

    Pole sana kijan utapona

    Jibu

    Akuje Liverpool hvyhvy na majeraha yake

    Jibu

    Mbappe jeshii PSG watakuwa na pengo kubwa la kumkosa mchezaji wao hatar

    Jibu

    pole sana mbappe

    Jibu

    Pole sana mbappe

    Jibu

    Pole Sana mbappe
    #meridianbettz

    Jibu

    Kylian ni pigo kwa psg labda wampatie huduma akalikava mapema awahi msimu ujao

    Jibu

    Kavunjwa tayar

    Jibu

    Ukiangalia mechi ambayo inawakabili dhidi ya Atalanta ni pigo kubwa kwa Psg kumkosa Mbappe

    Jibu

    Mbappe pole

    Jibu

    Pole dogo

    Jibu

    atakaa sawa tu

    Jibu

    Pole Sana kijana

    Jibu

    Get well soon

    Jibu

    Atakua poa soon as possible mungu atamsimamia.

    Jibu

    Pengo kubwa Sana kwa PSG kutokuwepo kwa mbape

    Jibu

    Pole sana Mbappe

    Jibu

    Pole sana mbappe

    Jibu

    Daah pengo kubwa kwa PSG endapo mbappe atakosekana mungu amsaidie apone haraka majeraha .

    Jibu

    Pole san mbappe

    Jibu

    Hii ni habali mbaya pole sana mbappe

    Jibu

    Daaah pole sana

    Jibu

    Pigo kubwa kwa psg

    Jibu

    Hata akiwepo PSG hawafiki mbali sababu haya mashindano ya UEFA Yana wenyewe

    Jibu

    Pole sana ila pia ni pigo kubwa kwa psg kumkosa bwana mdogo huyu

    Jibu

    Daah pole sana Mbappe#Meridianbettz

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Utapona tu mbape.

    Jibu

    Pole Mbappe

    Jibu

    Masikin pole yake#Meridianbettz

    Jibu

    Pole mbappe

    Jibu

    Huo ndo mpambano ajali kazini

    Jibu

Acha ujumbe