Liverpool wanaripotiwa kuwa wapo kwenye hatua kubwa zaidi ya mazungumzo juu ya dili la uhamisho la beki wa kati wa RB Leipzig Ibrahima Konate.

Liverpool waliwasogeza Ozan Kabak na Ben Davies kwenye dirisha la mwezi Januari ili kuziba mapengo ya Joe Gomez na Virgil van Dijk waliopata changamoto ya majeraha.

Licha ya kuwa na ongezeko la nafasi za ulinzi kwa dirisha la Januari, Jurgen klopp anaaminiwa kuwa yupo katika mchakato wa kumleta mlinzi mwingine klabuni hapo kuelekea msimu ujao.

Liverpool Mbioni Kukamilisha Dili la Ibrahima Konate

Konate, ambaye anatajwa kuwa na uwezo wa kucheza pia beki ya kulia na winga ya kulia, ndiye mchezaji anayetajwa zaidi kuwepo kwenye orodha ya wachezaji anaowataka Klopp.

Kwa mujibu wa The Athletic, mabosi wa Liverpool wamekuwa wakifanyia kazi suala hili nyuma ya pazia kuhakikisha linaenda sawia, na wako mbioni kukubaliana na Leipzig dili la ada ya paundi milioni 40. Chelsea pia wanatajwa kuwa wapinzani wa Liverpool kuinasa saini hiyo.


 

UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

Liverpool, Liverpool Katika Dili la Ibrahima Konate, Meridianbet

CHEZA HAPA

5 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa