Klabu ya Manchester City inatajwa kuwa na nia ya kumrejesha nyota wa Inter Milan, Romelu Lukaku kwenye ligi kuu uingereza katika dirisha hili la usajili.

Nyota huyu amekuwa kwenye fomu nzuri sana tangia alipowasili Inter Milan akitokea Manchester United mwezi Agosti, 2019, akifanikiwa kucheka na nyavy mara 61 kwenye mechi 91 alizocheza katika michuano yote.

Lukaku amefanikiwa kupata magoli 40 na asisti nane kwenye mechi 40 msimu huu, mechi 21 zikiwa ni za Serie A huku kikosi cha Antonio Conte kikiwa karibu zaidi kuutwaa ubingwa wa Italia.

Romelu Lukaku Kuwa Mbadala wa Benzema Real

Chelsea walikuwa wanahusishwa zaidi na uhamisho wa nyota wao wa zamani lakini kwa mujibu wa chapisho la Calciomercato, nia ya wapinzani wao Man City inakuja kuleta ushindani kwenye saini ya Lukaku.

Ripoti zinasema kuwa City, wanamuona Lukaku kama nyota anayeweza kuchukua nafasi ya Sergio Aguero ambaye anatarajia kuondoka kama mchezaji huru mwezi Juni.

Hata hivyo, Lukaku anaripotiwa kuwa hana nia ya kurejea Uingereza, akitaka kuendelea kujiboresha pale San Siro. Mkataba wake wa sasa na Inter unadumu hadi Juni 2024.


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

9 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa