Real Madrid watakowakosa mabeki wao wote wa kati, Varane na Ramos. Hii ni baada ya Varane kukutwa na Korona wakati wa vipimo kuelekea mchezo wa mzunguko wa kwanza wa robo fainali ya UEFA dhidi ya Liverpool jioni ya leo.

Varane kukutwa na Korona ni pigo kubwa kwa Madrid ambao juzi tu beki wao Ramos alikutwa na majeraha ya maswali yatakayomuweka nje kwa wiki kadhaa.

Liverpool watakuwa kamili huku washambuliaji wao Mane na Salah wakiwa katika wakati mzuri. Ikumbukwe kuwa Ramos na Varane ndo wamekuwa mabeki wa kutegemewa wa Madrid kwa muda mrefu sasa.

Kutokuanza kwa wachezaji hawa kunamaanisha Madrid italizimika kuwatumia Nacho na Eder Militao. Mchezaji mwingine Cavarjal atakuwa nje pia akiwa katika majeraha ya muda mrefu.

Mechi hiyo ya mzunguko wa kwanza itapigika saa nne usiku majira ya Afrika Mashariki.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

madrid, Madrid Kuwakosa Mabeki Wake Wote Wa Kati, Meridianbet

CHEZA HAPA

4 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa