Klabu ya Real Madrid imeripotiwa kumwaandalia ofa ya mkataba wa mwaka mmoja tu beki wao wa kati, Sergio Ramos na sasa kazi ni kwake kukubali kubaki Bernabeu au kuondoka.

 

madrid, Madrid Yatoa Ofa ya Mwaka Mmoja kwa Ramos., Meridianbet

 

Mhispaniola huyo atakuwa huru mwishoni mwa msimu huu baada ya mkataba wake kufika tamati Juni na kutokana na hilo, amekuwa akihusishwa na timu za Manchester United, Tottenham Hotspur na Paris Saint-Germain.

Ramos anahitaji kubaki Madrid, lakini ofa aliyowekewa mezani inaripotiwa kumkwaza kwa sababu anahitaji mkataba wa miaka miwili na mshahara mnono. Miamba hiyo ya Bernabeu pia imefungua milango ya kumnasa David Alaba.


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

madrid, Madrid Yatoa Ofa ya Mwaka Mmoja kwa Ramos., Meridianbet

CHEZA HAPA

7 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa