Rais wa Real Madrid, Florentino Perez ameripotiwa kukasirika kisa Manchester United wameingia kwenye mbio za kumfukuzia beki wa Villarreal, Pau Torres.

Beki huyo amekuwa akisakwa na timu nyingi za Ulaya kuelekea dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi huku kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer akiamini atakwenda kunasa huduma yake ili akacheze sambamba na Harry Maguire.

 

pau torres, Pau Torres Awaweka Vitani Madrid na United., Meridianbet

Solskjaer anatafuta beki wa kati anayetumia mguu wa kushoto na Pau Torres anafiti kwenye mpango wa kocha huyo jambo linaloweka uwezekano mkubwa akaenda kukipiga Man United msimu ujao.

Ukiachana na timu hizo Chelsea, Psg nazo zimekuwa kikifwatilia nyendo za beki huyo wa Villarreal aliye kwenye fomu kwa sasa.


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

pau torres, Pau Torres Awaweka Vitani Madrid na United., Meridianbet

CHEZA HAPA

5 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa