Nahodha wa kikosi cha Manchester United Harry Maguire, amejipa matumaini kuwa anaweza kuwa sehemu ya kikosi kitakachocheza mchezo wa fainali ya Ligi ya Europa.

Kwa hivyo kama hatakuwa vizuri kwa muda uliobaki kuelekea fainali hizo, kuna hatihati ya kukosa mchezo huo wa fainali ya Europa licha ya kuwa anahitaji kucheza.

MaguireNyota huyo alipata maumivu ya kifundo cha mguu katika mchezo dhidi ya Aston Villa na alitakiwa kuwa nje kwa muda wa wiki mbili.

Kumekuwa na hofu kubwa kutoka kwa kocha wake Ole Gunnar Solskajer kuwa beki huyo anaweza kuikosa fainali dhidi ya Villarreal Jumatano ijayo.

Kocha huyo amesema:”Nilipozungumza naye alionekana kuonyesha matumaini ya kurudi ila kwa sasa tunaelekeza nguvu uwanjani, tunaweza kumrejesha lakini sio mapema mpaka pale atakapokuwa fiti,” .


Unaweza kuwa milionea wakati wowote!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

maguire, Maguire Hofu Kuikosa Fainali ya Europa, MeridianbetBASHIRI SASA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa