Mchezaji wa Chelsea anayekipiga kwa mkopo katika klabu ya Porto, Malang Sarr ametajwa katika kikosi cha wachezaji 25 watakaoivaa timu hiyo usiku wa leo.

Malang Sarr alisajiliwa na Chelsea katika dirisha lililopita la majira ya kiangazi lakini moja kwa moja alitolewa kwa mkopo katika timu hiyo ya Ureno.

 

Kuelekea mchezo wa kwanza wa robo fainali ya ligi ya mabingwa unatocheza mjini Seville, mchezaji huyo atacheza dhidi ya waajiri wake kwakua katika kipengele cha mkataba wake wa mkopo hauna katazo au sheria yoyote inayomzuia.

Mpaka sasa Sarr ameichezea Porto mechi 21 akifunga goli 1 katika msimu wa 2020/21.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa