Mbio za kuwania kufuzu michuano ya AFCON 2022 huko Cameroon ziliendelea jana na Malawi ikafanikiwa kufuzu kwa kuichapa Uganda the Cranes bao moja kwa sifuri.

Hii ni mara ya tatu kwa Malawi kufuzu fainali za AFCON, walifanya hivyo mwaka 1984 na mwaka 2010.

Wakati huo timu ya Uganda wamekuwa wakicheza fainali hizo toka mwaka 2015, na mwaka huu walihitaji sare tu ila wafuzu fainali hizo zitazochezwa mwakani huko Cameroon.

Malawi walianza kampeni yao ya kuwania kufuzu fainali zao kwa ushindi mwembamba wa bao moja kwa sifuri dhidi ya Sudan ya Kusini. Lakini walipoteza mfulululizo mechi mbili dhidi ya Uganda kwa 2-0 na Burkina Faso 3-1.

The Flames walipata sare dhidi ya Burkina Faso mwezi Novemba ambao uliwahakikishia nafasi yao kubwa ya kufuzu fainali hizo.

Kocha mkuu Meck Mwase alisema huu ni wakati sahihi kwa Malawi Kurudi kwenye mbio za AFCON kama ilivyoripotiwa na jarida la Nyasa times.


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

malawi, Timu Ya Taifa Ya Malawi Yafuzu AFCON 2022 Baada Ya Miaka 10, Meridianbet

CHEZA HAPA

5 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa