Klabu ya Man United itamkosa mshambuliaji wake, Anthony Martial kwa michezo yote uliosalia msimu huu wa EPL – 2020/21.

Licha ya kutokuwa katika ubora wake msimu huu akilinganishwa na alivyokuwa msimu uliopita, Martial bado ni mchezaji wa muhimu kwenye kikosi cha kocha Ole Gunnar Solskajaer ambaye anatumia zaidi mfumo wa kushambulia.

Hakika uhodari wa kumiliki mpira sambamba na kasi yake, ni vitu ambavyo Man United itavikosa kwa takribani michezo 8 iliyosalia kwenye EPL sambamba na mashindano ya Europa.

Man United, Man United Kumkosa Martial Michezo Iliyosalia, 2020/21., Meridianbet
Martial akitolewa nje ya uwanja baada ya kuumia kwenye mchezo dhidi ya Kazakhstan wikiendi iliyopita.

Akizungumzia hali ya Martial, kocha wa Man United – Ole Gunnar Solskjaer amesema ” Kumkosa Martial kwa kipindi chote cha msimu, inakatisha tamaa sana. Taarifa kutoka Ufaransa zilisema hakuumia sana lakini vipimo vimeonesha tofauti na ilivyoripotiwa.

“Tunaimani ataweza kurudi kabla ya msimu huu kuisha lakini hatuna uhakika sana katika hilo.” 

Martial aliumia goti akiwa na timu ya Taifa ya Ufaransa katika michezo ya kufuzu mashindano ya Kombe la Dunia 2022, Qatar.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

Man United, Man United Kumkosa Martial Michezo Iliyosalia, 2020/21., Meridianbet

CHEZA HAPA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa