Man United kupambana uso kwa uso na mahasimu wao – Liverpool katika kuwania saini ya beki RB Leipzig, Ibrahima Kounate.

Baada ya Liverpool kuwa ndio timu pekee inayohusishwa na Kounate (miaka 21), mambo yamekuwa tofauti. United wanatajwa kuingia sokoni kumtafuta mrithi wa Erick Bailly endapo beki huyo ataondoka Old Trafford mwishoni mwa msimu huu.

Man United, Man United Kupambana na Liverpool Kwa Kounate., Meridianbet
Erick Bailly

Bailly amebaikiza mwaka mmoja kwenye mkataba wake na inasemakana hana furaha na maisha ndani ya kikosi cha United kutokana na kutopata namba chini ya Ole Gunnar Solskjaer.

Inter Milan ni timu inayohusishwa na Bailly endapo ataondoka. Man United wanamuona Kounate kama mrithi sahihi wa Bailly na akiwa anauzwa kwa pauni milioni 33, United ipo mbioni kupambana na Liverpool ili kuipata saini ya kinda huyu wa Kifaransa.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

Man United, Man United Kupambana na Liverpool Kwa Kounate., Meridianbet

CHEZA HAPA

4 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa