Manchester City wamtaka Haaland na Grealish

Pep Guardiola anaweza kufufua mashambulizi yake kufuatia kuondoka kwa mshambuliaji Sergio Aguero.

Manchester City
Erling Haaland Akiwa anashangilia.

Manchester City wamejiandaa kufanya kila inavyotakiwa kuwapata duo ya Erling Haaland na Jack Grealish, hata kama ada yao ya pamoja itafikia nambari tatu, inadai Daily Mail.

Manchester city
Jack Grealish Akiwa uwanjani

Haaland, 20, atatoka Borussia Dortmund tayari nyota mwenye matarajio makubwa kadri siku zinavyozidi kwenda, wakati Grealish, 25, atawasili kutoka Aston Villa akiwa bado chipukizi.


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

manchester city, Manchester City Wamtaka Haaland na Grealish, Meridianbet

CHEZA HAPA

7 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa