Vuguvugu la European Super League linaendelea mambo mengi yakiendelea kutokea, na sasa Manchester United imejitoa kutoka kwenye Umoja wa Klabu za ulaya ECA.

Kujitoa kwa klabu huyo kumetokana na mtendaji mkuu wa Manchester United kujiondoa kwenye majukumu ya UEFA. Woodward amejitoa kwenye majukumu hayo kutokana UEFA kuonesha kupinga michuano ya European Super League.

United ni miongoni mwa klabu 12 zilizotangaza kushiriki michuano ya European Super League, lakini michuano hiyo imeibua hisia kali sana kutoka kwa kila mdau wa soka.

Mashabiki wengi duniani wameonekana kupinga michuano hiyo kwani inaanikiza vitendo vya ubaguzi kwa vilabu visivyobora duniani.


MKWANJA MARIDHAWA NA KASINO YA 777 MEGA DELUXE

Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.

manchester united, Manchester United Yajitoa ECA, Meridianbet

CHEZA HAPA

5 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa