Fowadi wa Milan, Mario Mandzukic amekuwa akipambana na majeraha tangu aliporejea Italia na Rossoneri (Milan) wanaripotiwa hawana mpango wa kuongeza mkataba wake.

Mshambuliaji huyo wa zamani wa Juventus alirudi Serie A mnamo Januari na alidhaniwa kuwa angeweza kumpunguzia jukumu kubwa kwa Zlatan Ibrahimovic kwenye safu ya ushambuliaji.

Mandzukic, aliyecheza mara 89 kwenye timu ya taifa ya Croatia, alichukua mataji ya Serie A manne na mataji matatu ya Coppa Italia wakati akiwa na Juventus.

Mchezaji huyo wa zamani wa Croatia alihamia Al-Duhail mnamo Januari 2020 lakini akarudi Serie A baada ya mwaka mmoja.

Lakini Kocha wa Milan Stefano Pioli amekuwa akimkosa mchezaji huyo wa zamani wa kimataifa wa Croatia kwa michezo 10, na mechi inayofuata dhidi ya Parma inaweza kuwa ya 11.

Tuttosport inadai Mandzukic anayo fursa ya kudhihirisha Milan kuwa wanakosea, ikiwa kilabu kwa sasa haina nia ya kuongeza mkataba wake baada ya kiwango kisichoridhisha katika kurejea kwake Italia kwa miezi ya hivi karibuni.

Mchezaji huyo wa miaka 34 amecheza michezo mitano ya ushindani kwa Diavolo na hajafunga bao akiwa na jezi ya Rossonero.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

Mandzukic, Mandzukic Anahitaji Kuwashawishi Milan, Meridianbet

CHEZA HAPA

4 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa