Klabu ya Manchester United iliripotiwa kuwa tayari kumuacha Anthony Martial Aondoke klabuni hapo kwenye soko hili la msimu wa joto.

Taarifa zaidi za hivi karibuni zinabainisha kuwa Man U wanajiandaa kumtumia Anthony Martial kwenye dili la Earling Braut Haaland.

Anthony Martial
Anthony Martial

Chelsea wanatajwa kuongoza mbio za kuiwania saini ya Haaland, ambaye anatajwa kuwa na gharama ya £150m ikiwa ataondoka msimu huu wa uhamisho.

Ripoti zinasema kuwa Dortmund hawana mpango na dili la kubadilishana wachezaji, na hivyo dau lililopo mezani ndiyo linaweza kuamua ni nani ataipata saini ya staa huyu.

Chelsea Watatoa £172 Kumnasa Haaland?
Chelsea wanaongoza mbia za kuinasa saini ya Haaland

Lakini, United wanajiandaa kuwashawishi Dortmund kumsaini Martial ili kurahisiha biashara yao.

Mfaransa huyu alifanikiwa kucheka na nyavu mara nne tu kwa msimu uliopita na kutoa asisiti tatu. Ole Gunnar kwa sasa anatarajia kuzingatia ofqa zinazoweza kuwasilishwa kwa ajili ya saini ya staa huyu wa miaka 25.


KUWA SHUJAA KATIKA KASINO ZA MERIDIANBET!

SHOOT! mchezo unaokupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa