Real Madrid hawatarajii kumuweka sokoni Martin Odegaard katika dirisha lijalo la uhamisho kwa sababu wanatarajia kumtumia kwenye kikosi cha kwanza.

Staa huyu aliungana na Arsenal kwa mkopo mwezi Januari kwa mda wa miezi sita, mkopo wake ni wa sita katika kipindi chake na Madrid.

Meneja Zinedine Zidane sasa anatarajia kumpa majukumu Martin Odegaard kwenye kikosi chake cha kwanza kwa msimu wa 2021-22.

Odegaard
Odegaard

Arsenal wanaripotiwa kuwa walikuwa wanahitaji kumsaini staa huyu katika mkataba wa kudumu kwa miezi Ijayo, suala hili litakuwa gumu kidogo kufuatia mpango wa Real, vinginevyo kuwe na mabadiliko katika mipango yao juu ya staa huyu.

Kwa mujibu wa chanzo cha Diario AS, Zidane anajilaumu kumruhusu Odegaard kuondoka kwa kopo klabuni hapo kwa sababu alikuwa akipata shida kujaza nafasi za Luka Modrid na Toni Kroos linapotokea jambo.


 

Kwani Meridianbet Wanasemaje! Mkwanja Upo Kwenye Kasino mpya ya Mini Power Roulette.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

16 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa