Euro 2020 huenda ikatengeneza mazingira mazuri ya mashabiki kurudi uwanjani baada ya janga la Korona kuleta mabadiliko makubwa kwenye suala zima la michezo na shughuli mbalimbali za kiuchumi.

Uwanja wa Wembley ni mmoja wa ile 11 ambapo michuano ya Euro 2020 inafanyika, na hapo hapo ndipo sehemu ambayo fainali ya michuano hiyo mikubwa itafanyika. Michezo ya hatua ya makundi imeshuhudia mashabiki 22,500 wakiwa uwanjani kutokana na sheria.

Waziri mkuu wa Uingereza, Borris Johnson amesema kwamba serikali imeamua kuongeza idadi ya mashabiki watakaoweza kushuhudia fainali ya Euro 2020 kutoka 22,500 mpaka 40,000 ikiwa ni jitihada za awali za serikali kuona uwezekano wa kurudisha hali kama awali

Wiki kadhaa mbele tutashuhudia watu zaidi wakifurahia michuano ya Euro 2020 hapa Wembley na kutaendelea kuongeza idadi ya watu hata katika shughuli mbalimbali za kijamii na kimichezo!


SHINDA TSH 150,000,000/=

Mtaani kumechangamka, washkaji wanakamata mkwanja kwa mkakati tu na Footbal Fever! Ni rahisi, changamkia fursa hii kushinda mgao wako wa TSH 150,000,000/= 💰🤑

Atletico, Atletico Waunga Tela kwa Calhanoglu, MeridianbetINGIA MCHEZONI

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa